katibu mkuu wa TFF Angetileh Osiah amepata nafuu na anaendelea vizuri pale kwenye Hospital ya Muhimbili! nimeongea nae hivi punde akiwa pale MOI na huenda kesho akatoka Hospitalini.
Inshaalah Tunakuombea upone haraka na urejee katika hali yako ya kawaida!
upone urudi kuendeleza fitina ya soka maana ndo kazi yenu na kamati zakipuuzi amabazo hata majukumu yake hazielewi,wewe na wenzio ndio wachawi wa soka letu
ReplyDeletechela wa dom
Pole kwa matatizo yaliyokukuta mungu atakusaidia upone na uendelee na majukumu yako ipasavyo.
ReplyDelete