Search This Blog

Sunday, February 5, 2012

KUTOKA KWENYE WALL YA DANNY MRWANDA KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK!

Danny Mrwanda
MWALIMU WA KWELI....japo wengi hawakuuthamini mchango wake.

Razaki Khalfan and Shaby Kado like this..


Silla Yalonde: i do respect his contribution in many ways,above all he raised the spirit of patriotism to players and Tanzanian football fans,be blessed Marcio

Danny Mrwanda: Ya ni mwalimu wa kweli@silla,ila wabongo waliowengi wanajali maslahi yao hasa hao viongozi wa tff.wao ndio chanza cha kumpiga mizengwe huyo coach,yote kwa yote he is a hero.

5 comments:

  1. Danny hata mimi nakuunga mkono maana tangu Maximo aondoke licha ya Tanzania kushuka viwango vya Fifa, hamasa ya soka nayo imepotea kabisa. Sasa hivi watu wanaiangalia tu Twiga stars kama mkombozi wao, Hata hivyo naona kama ni juhudi za Mkwasa tu na sioni nafasi ya TFF
    Nashon

    ReplyDelete
  2. afazali mmesema wachezaji wenyewe mnaomfahamu kocha ni jukumu la TFF kuzingatia ushauri huuu

    ReplyDelete
  3. Kwangu mimi tatizo halikuwa tff! Shida iko kwa wanaojiita wadau wa soka wakati hawajui lolote kuhusu soka. Tatizo zaidi ni kwa jinsi mpira wetu ulivyojaa unazi wa kishamba. Kocha huyu alikuta mpira wetu hauna mwelekeo, vichezaji alikuta vimejazwa kwenye timu ya taifa bila viwango kuangaliwa ila unazi. Alipoanza kuifumua na kuangalia wachezaji gani wanafaa kelele zikawa nyingi sana wakati mwingine kutoka kwa watu tulioamini ni watu wa mpira, eti wakijiita makocha wazalendo mara wadau wa soka, mimi nawaita vijikocha na vidau uchwara na pia viandishi habari uchwara. TAIFA HILI LINA BAHATI MBAYA SANA MAANA HUYO MDUDU WA UNAZI UCHWARA SIONI DALILI YA KUTOWEKA. LABDA AZAM ATABADILI MAMBO LAKINI NA HUKO NAKO TUNAAMBIWA NI TIMU WA WAZANZIBARI. SIJUIIII!!!

    ReplyDelete
  4. Kwa suala la maxmo co tff bali ninjaa nawivu wakipuuzi wa makocha wa tz waliokosa uelekeo wakiongozwa nampika majungu Marehem Mziray na sumu ilienea hd kuondoka kwa shujaa wetu Maxmo.Tunakupenda wa TZ tunaojua soka.GAZZA

    ReplyDelete
  5. Nakiri lugha ya kiswahili siyo ya vitendo, maana watu wanaupepeta kuliko vitendo. Sijui kwa sababu kiswahili kinatokana na watu 'WAVIVU SANA' asubuhi tu mtu ametoa mkeka chini ya mwembe. Ha ha ha ha ha ........... uuuuwiiiiiiiiiiiii. Wazaramo na wakwereeeeeee mpooooo.

    ReplyDelete