Search This Blog

Wednesday, February 22, 2012

PRIMETIME PROMOTIONS WAINGIA MKATABA NA SIMBA KUSIMAMIA NA KURATIBU MECHI DHIDI YA KIYOVU







Kampuni ya Primetime Promotion imeingia mkataba na klabu ya Simba kusimamia mchezo wa raundi ya pili ya kombe la shirikisho kati ya wekundu hao wa msimbazi na Kiyovu kutoka nchini Rwanda.


Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Primetime kuandaa na kusimamia mechi za mashindano makubwa ya kimataifa baada ya kufanya kazi katika kuandaa na kusimamia na kuratibu mechi kati ya Yanga na Zamalek.


Taarifa zaidi zitafuata.

1 comment:

  1. PRIMETIME PROMOTION HONGERENI KWA KUNASA HUO MKATABA.ILA NAWASHAURI MWANGALIE UPYA UTARATIBU WENU WA PALE GETINI.MFUMO ULIOTUMIKA KWENYE MECHI YA YANGA NA ZAMALEK UNASABABISHA FOLENI KUBWA NA KUFANYA WATU WASUBIRI SANA NJE YA UWANJA HUKU MLANGO KUKIWA NA VIJANA WAWILI NA KIBINTI KIMOJA WANAOTAKIWA KUANGALIA KILA TIKETI!

    AHHHHHHAAA MSIFANYE HIVO BANA FANYENI UTAFITI KIDOGO MPATE BEST PRACTICE YA UTARATIBU MZURI

    ReplyDelete