Search This Blog

Wednesday, February 8, 2012

BREAKING NEWS: HARRY REDKNAPP ASHINDA KESI DHIDI YA UKWEPAJI KODI

Manager wa Tottenham Hotspur Harry Redknapp ameshinda kesi iliyokuwa ikamkabili ya kukwepa kodi nchini Uingereza.

Kocha huyo wa Spurs ambaye anapigiwa chapuo la kuwa mrithi wa Fabio Capello katika kikosi cha ‘Three Lions’ amefutiwa mashtaka yote yaliyokuwa yakimkabili.

Redknapp alikuwa anatuhumiwa kukwepa kodi ya kiasi cha fedha cha £189,000 kilichokutwa katika akaunti moja iliyopo Monaco-Ufaransa.

1 comment:

  1. lakin uongo wake wa kujifanya ni almost illeterate kajiabisha na eti hatumiagi simu wala kompyuta ni sound za hatari,ashukuru mungu wamemuachia
    chela wa dom

    ReplyDelete