Arsene Wenger yupo tayari kucheza kamari kwa kukataa kusajili mchezaji yoyote katika kipindi hiki cha usajili.
Kwa mara nyingine manager wa Arsenal atawafanya mashabiki wa timu hiyo kukasirika kwa kukataa kusajili wakati timu yao ikiwa inaonekana bado dhaifu.
Kitu pekee ambacho kinaweza kubadilisha mawazo yake ni matokeo mabaya dhidi ya United at Emirates on Sunday.
Arsenal wamepoteza mechi 3 kati ya sita za mwisho za Premier league na supporters wamekuwa wakilaumu wachezaji ikikumbukwa incident iliyotokea kati ya Thierry Henry dhidi ya shabiki katika mechi dhdi ya Swansea.
Na Wenger anaonekana bado kuwa na imani na kikosi chake na ndio maana amesema hatosajili katika dirisha dogo la usajili ndani ya mwezi huu wa Janaury.
Hata kama ni uchumi! hii sasa ni zaidi ya uchumi.
ReplyDelete