Shafii huyu jamaa anaitwa Ally Malilo 'Loketo' nyota wa zamani wa Sigara na timu nyingine alizowahi kuchezea. Kwa sasa jamaa anabana mitaa ya Magomeni Mwembechai na huipiga tafu timu ya Kagera Rangers
Nimeshituka. Dah sasa hiyo fulana ya Alli ina label ya ward ya vichaa na hilo sijui embe anakula. Mi nkajua jamaa tushampoteza. Namjua alikuja reli Moro na alitusaidia sana enzi za reli kiboko ya vigogo akitokea coastal au african sports. Mshikaji ana utege fulani hivi wa ndani,mfupi mweusi tii. Ilikuwa ni silaha kali sana. Soka la bongo halilipi kabisa. hastahili kuishia hapo huyo mshikaji....
Ally Malilo Loketo mchezaji wa Nungu Fc ya jangwani,Forest ya Kariakoo,Sigara sc mwisho kamalizia kwa wazee wa Jangwani Kuala Lumpa Marlasya Dar Young African wazee wa Zengwe.
kingsley Malwilo...
ReplyDeleteShafii huyu jamaa anaitwa Ally Malilo 'Loketo' nyota wa zamani wa Sigara na timu nyingine alizowahi kuchezea. Kwa sasa jamaa anabana mitaa ya Magomeni Mwembechai na huipiga tafu timu ya Kagera Rangers
ReplyDeleteNimeshituka. Dah sasa hiyo fulana ya Alli ina label ya ward ya vichaa na hilo sijui embe anakula. Mi nkajua jamaa tushampoteza. Namjua alikuja reli Moro na alitusaidia sana enzi za reli kiboko ya vigogo akitokea coastal au african sports.
ReplyDeleteMshikaji ana utege fulani hivi wa ndani,mfupi mweusi tii. Ilikuwa ni silaha kali sana. Soka la bongo halilipi kabisa. hastahili kuishia hapo huyo mshikaji....
Du wasione wazee wanoko, watazuia watoto kucheza mpira
ReplyDeletehiyo t shirt aliyovaa mbona ya hospitali ya vichaa au wabongo hamjui kithungu(mitumba itatuua)
ReplyDeleteAlly Malilo Loketo mchezaji wa Nungu Fc ya jangwani,Forest ya Kariakoo,Sigara sc mwisho kamalizia kwa wazee wa Jangwani Kuala Lumpa Marlasya Dar Young African wazee wa Zengwe.
ReplyDeleteni ngoma loketo kona bao,,,,
ReplyDeleteHuyu ni Ally Malilo "LOKETO". Alikuwa jirani yangu pale mwembechai. Vipi tena mbona naona kama mambo yake hayako sawa kulikoni?
ReplyDeleteAli
ReplyDeletesi unajua master wa bongo?. wakishatoka kwenye game wanakuwa waokota makopo!