MPIRA NI MAPUMZIKO SASA, TAIFA STARS 1-1 CHAD.
MRISHO NGASSA NDI AMEFUNGA GOLI LA STARS.
SECOND HALF: MPIRA UMEANZA TIMU ZINASHAMBULIANA KWA ZAMU.
DK 55: STARS 1-1 CHAD.
DK 60: STARS 1-1 CHAD.
DK 67: STARS 1-1 CHAD.
DK 75: STARS 1-1 CHAD.
DK 81: STARS 1-1 CHAD
DK 85: STARS 1-1 CHAD
DK 90: STARS 2-1 CHAD. NURDIN BAKARI ANAIPATIA TZ BAO LA PILI.
Mbona ugonjwa wetu wa kushindwa kulinda magoli haupatiwi tiba??
ReplyDeleteDu hii nzuri.. Hebu tusubiri Kama tutatunza ushindi...
ReplyDeleteHongereni vijana..well done.
ReplyDeleteHongereni vijana.
ReplyDeletevijana wanajitahid sana go on Taifa stars
ReplyDeleteWell done boys!!
ReplyDeleteatleast we've made it..here we start moving like a snake.
ReplyDeletebravo stars
Shaffih vp mpira umekwisha? Maana naona kimya. Hebu tuaptedet kilichoendelea dk hizo za mwisho
ReplyDeleteduuuh,leo tz imeona mbingu
ReplyDeletemwanzo mzuri kwa vijana ila wajitahidi mechi ya pili maana cc watanzania tupo ugonjwa wa kushindwa kumalizia sherehe,Gregy
ReplyDeleteMwanzo mzuri!
ReplyDeleteyeaaaaaaah!!!
ReplyDeleteTeh teh baada ya Tanzaniiihte sasa Tanzawiiiiite
ReplyDeletedah afadhali tumeona mwezi baba
ReplyDeleteTushukuru mungu kwa ushindi wa ugenini nadhani tukiweka bidii tutafika mbali mungu asikilize duah zetu well done Taifa Star keep it up vujana
ReplyDeleteKeep it up Stars tumalize kazi nyumbani.
ReplyDeleteWatashindana lakini hawatashinda.tz hurrrrreeeee!!!!!!!
ReplyDeletehongera vijana....twahafigo@hotmail.com
ReplyDeleteHongereni TAIFA STARS,Sasa tujipange kwa mchezo wa marudiano...
ReplyDeleteBongo soka ndivyo linavyokuwa leo tunasinda kesho tunachezea kichapo au tumejitahidi tunatoa droo
ReplyDelete