HATIMAE KILIMANJARO STARS IMEFANIKIWA KUPATA USHINDI WA KWANZA KWENYE MASHINDANO YA CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP 2011 BAADA YA KUIFUNGA DJIBOUTI MABAO 3-0.
MABAO HAYO YAMEFUNGWA NA THOMAS ULIMWENGU,MWINYI KAZIMOTO NA YUSUF RASHID.
WAKATI HUO HUO RWANDA IMEIFUNGA ZIMBABWE MABAO 2-0 KWENYE MCHEZO ULIANZA MAPEMA.
Djibouti ndio saizi yetu, huko kwao hata uwanja hawana, sioni jipya lolote tumeishinda timu mbovu.
ReplyDeleteHivi shaffih inakuwaje hawa CECAFA hawafanyi assessment ya timu zinazokuja kushiriki mashindano kabla, hawa jamaa wazimbabwe wamelita timuambayo haina hata mcezaji mmoja mwenye namba timu yao ya Taifa wameokota wachezaji wa under 23 wakawaleta, zimbabwe wana ligi ngumu na nzuri sana wachezaji wao wazuri wanaochezea Dynamos, Platinum wote hawajaja, sioni tija katika uchaguzi na vigezo wananyotumia CECAFA ama kwao ni alimradi tu wamekuja wakiwakilisha Zimbabwe tunataka changamoto sio wingi wa timu.
Mike
Hatimaye Sports bar Jmatatu hii ilianza naglu kwa wakati saa nne na nusu. Nilivutiwa na uchambuzi wa mgeni wa siku. Hivi kweli mawazo yake yamekosa wa kuyafuatilia. kwanini hatumuoni TFF katika program ya vija. Watoto wake kama Kigi Makasi tunawaona. Mi nadhani kuna haja ya TASWA academy, sio kimasihara bali namaanishaili nayo itoe mfano tusiishie kuchambua tu. Kochahuyo alinikosha sana natamanimwanangu akue nimpeleke kwake.
ReplyDelete