Samir Nasir (at front) runs with the ball as Graham Naftali follows during the second day of the Airtel Rising Stars international soccer clinic taking place at the National Stadium, Dar es Salaam. . The clinic which is under the guidance of the Manchester United Soccer schools coaches, has drawn participants from Kenya, Malawi, Sierra Leone and Tanzania. (Picture by Our Correspondent)
Mchezaji Rashidata Kamara (kushoto), akimiliki mpira mbele ya Chimwemwe Birry (jezi namba 11) kwenye kliniki ya soka ya Kimataifa ya Airtel Rising Stars inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo ambayo inaendeshwa na Makocha kutoka Klabu ya Manchester United ya Uingereza inashirikisha wachezaji kutoka Kenya, Malawi, Sierra Leone na Tanzania. (Piga na mpigapicha Wetu)
Rashidata Kamara (left) dribbles the ball past Chimwemwe Birry (No. 11) during the ongoing Airtel Rising Stars international football clinic at the National Stadium, Dar es Salaam. The clinic which is under the guidance of the Manchester United Soccer schools coaches, has drawn participants from Kenya, Malawi, Sierra Leone and Tanzania. (Picture by Our Correspondent)
Dennis Richard (kushoto) akitafuta mbinu ya kumtoka Rashidata Kamara (kulia) wakati wa siku ya pili ya kliniki ya Kimataifa ya soka ya Airtel Rising Stars inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo ambayo inaendeshwa na Makocha kutoka Klabu ya Manchester United ya Uingereza inashirikisha wachezaji kutoka Kenya, Malawi, Sierra Leone na Tanzania.

Dennis Richard (left) dribbles the ball past Rashidata kamara (right) during the second day of the Airtel Rising Stars international soccer clinic taking place at the National Stadium, Dar es Salaam. . The clinic which is under the guidance of the Manchester United Soccer schools coaches, has drawn participants from Kenya, Malawi, Sierra Leone and Tanzania. (Picture by Our Correspondent)
Mchezaji Graham Naftali (kushoto) akigombania mpira na Chimwemwe Birry(kulia)wakati wa siku ya pili ya kliniki ya soka ya kimataifa ya Airtel Rising Stars inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Kliniki hiyo ambayo inaendeshwa na Makocha kutoka Klabu ya Manchester United ya Uingereza inashirikisha wachezaji kutoka Kenya, Malawi, Sierra Leone na Tanzania.(Picha na mpigapicha Wetu)
Graham Naftali (left) vies the ball with Chimwemwe Birry (right) during the second day of the Airtel Rising Stars international soccer clinic taking place at the National Stadium, Dar es Salaam. . The clinic which is under the guidance of the Manchester United Soccer schools coaches, has drawn participants from Kenya, Malawi, Sierra Leone and Tanzania. (Picture by Our Correspondent)

No comments:
Post a Comment