Shaffih naomba nitoe japo kidogo dukuduku langu kuhsu mpira wetu wa BONGO. Ki ukweli mimi ni mmoja wa waathirika wa EPL baada ya kuona hapa nyumbani hakuna lolote linaloendelea ktk mpira wa miguu na nilikuwa ni shabiki mkubwa wa soka letu lakini leo hii ukiniuliza pale Taifa ndani pakoje siwezi kukueleza kwa sababu sijawahi kwenda na sitowahi kwenda labda niende kuangalia matamasha menginne lkn si mpira wetu huu wa kibongo uliooza labda siku ukibadilika. Nawalaumu sana nyie wanahabari kwa kutokemea ubovu wa viwango vya mpira vinavyooneshwa na timu zetu za TZ hasa hizi mnazoziita timu kubwa SIMBA na YANGA badala yake mmekuwa vigeugeu wa kusifia ubovu na national team inapoboronga mnaponda. watanzania ni wapenda kandanda kupita maelezo lkn cha ajabu wamekuwa wakiibiwa pesa zao kutokana na kutopata burudani ya kandanda inayolingana na viingilio vya pesa zao. Ukweli Shaffih mi sioni hizi timu huwa zinafanya nini uwanjani zaidi ya nyie wanahabari kuzivimbisha vichwa kwenye vyombo vyenu vya habari. Kama hawa jamaa wangekuwa wanafanya kile kinachtakiwa, mi nakueleza leo hii ule uwanja wa Taifa ungekuwa mdogo kutokana na idadi kubwa ya wapenda kandanda ambavyo wangejitokeza nikiwemo mimi. Sikushangazwa na vichwa vya habari kwenye magazeti vyenye sifa za kipuuzi kabla na baada ya mechi, lkn hakuna hata chombo kimoja cha habari kilichoolezea ubovu wa kandanda ambalo siku zote limekuwa likionyeshwa na timu zote 2.Hivi Shaffih mbona hamjiulizi khsu upuuzi unaofanywa na hizi timu 2 zinapotoka nje ya mipaka yetu? Huwa nakaa naagalia replay kwenye runinga, ni aibu tupu. Mnategemea Poulsen atoe wapi timu ya taifa kutoka kwenye huu mpira wa butua butua. Msipobadirika mkafanyia kazi na kuyaanika mapunguffu ya mpira wetu, hatutarekebika tutabaki na story za bunduki za yanga/simba mwaka huu ni balaa lkn pale uwanjani hatuonibunduki wala mishale. Shaffih naomba haya maoni yangu uyatoe kwenye sports Extra naamini kuna kundi kubwa la wenzangu nyuma yangu ila hawana nafasi ya kutoa waliyonayo.
ebwana dah! Imeniuma kweli kufungwa na hao yebo yebo.ila ndo mpira ulivyo tenaebwana dah! Imeniuma kweli kufungwa na hao yebo yebo.ila ndo mpira ulivyo tena
ReplyDeleteukiona manyoya ujue kaliwa, hongera yanga BG UP!!!!!!!!!
ReplyDeleteShaffih naomba nitoe japo kidogo dukuduku langu kuhsu mpira wetu wa BONGO. Ki ukweli mimi ni mmoja wa waathirika wa EPL baada ya kuona hapa nyumbani hakuna lolote linaloendelea ktk mpira wa miguu na nilikuwa ni shabiki mkubwa wa soka letu lakini leo hii ukiniuliza pale Taifa ndani pakoje siwezi kukueleza kwa sababu sijawahi kwenda na sitowahi kwenda labda niende kuangalia matamasha menginne lkn si mpira wetu huu wa kibongo uliooza labda siku ukibadilika. Nawalaumu sana nyie wanahabari kwa kutokemea ubovu wa viwango vya mpira vinavyooneshwa na timu zetu za TZ hasa hizi mnazoziita timu kubwa SIMBA na YANGA badala yake mmekuwa vigeugeu wa kusifia ubovu na national team inapoboronga mnaponda. watanzania ni wapenda kandanda kupita maelezo lkn cha ajabu wamekuwa wakiibiwa pesa zao kutokana na kutopata burudani ya kandanda inayolingana na viingilio vya pesa zao. Ukweli Shaffih mi sioni hizi timu huwa zinafanya nini uwanjani zaidi ya nyie wanahabari kuzivimbisha vichwa kwenye vyombo vyenu vya habari. Kama hawa jamaa wangekuwa wanafanya kile kinachtakiwa, mi nakueleza leo hii ule uwanja wa Taifa ungekuwa mdogo kutokana na idadi kubwa ya wapenda kandanda ambavyo wangejitokeza nikiwemo mimi. Sikushangazwa na vichwa vya habari kwenye magazeti vyenye sifa za kipuuzi kabla na baada ya mechi, lkn hakuna hata chombo kimoja cha habari kilichoolezea ubovu wa kandanda ambalo siku zote limekuwa likionyeshwa na timu zote 2.Hivi Shaffih mbona hamjiulizi khsu upuuzi unaofanywa na hizi timu 2 zinapotoka nje ya mipaka yetu? Huwa nakaa naagalia replay kwenye runinga, ni aibu tupu. Mnategemea Poulsen atoe wapi timu ya taifa kutoka kwenye huu mpira wa butua butua. Msipobadirika mkafanyia kazi na kuyaanika mapunguffu ya mpira wetu, hatutarekebika tutabaki na story za bunduki za yanga/simba mwaka huu ni balaa lkn pale uwanjani hatuonibunduki wala mishale. Shaffih naomba haya maoni yangu uyatoe kwenye sports Extra naamini kuna kundi kubwa la wenzangu nyuma yangu ila hawana nafasi ya kutoa waliyonayo.
ReplyDelete