POULSEN KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen atakutana na waandishi wa habari kuzungumzia maandalizi ya mechi dhidi ya Chad itakayochezwa Novemba 11 mwaka huu ikiwemo kutaja kikosi chake. Tarehe: Oktoba 31, 2011Muda: Saa 5 asubuhiMahali: TFF
No comments:
Post a Comment