SIPATI PICHA KWENYE KIUNGO YUPO GAGA,CHINA NA MASHA,MBELE YAO MOGELLA
KUTOKA KULIA : HUSSEIN AMAN MASHA, ATHUMAN CHINA,ZAMOYONI MOGELLA,HAMIS THOBIAS GAGA HUYO MWINGINE MSAADA JAMANI...KWA KIKOSI HIKI SIDHANI KAMA KUNA TIMU BARANI AFRIKA KWA HIVI SASA INGEKISUMBUA.... ANAYEBISHA AKITAJE KIKOSI AMBACHO KINGEWASUMBUA HAWA WANAUME.......NATAMANI KULIA MIE....KWELI WAKATI NI UKUTA !
1994 kule Kenya tulipochukua Kombe la Afrika Mashariki na kati....Tulikuwa full muziki mzee! Masha,Lunyamila, Gaga, Madaraka Selemani ''Mzee a Kiminyio''....We acha tu! Hapi tumu inapigabkambi jeshi la wokovu...Sio Lamada au New Afika kama sasa!
ReplyDeleteUnajua Shafii tofauti ya hawa wachezaji na wachezaji wa leo, ni vitu vitatu vikubwa:
ReplyDelete1. Usikivu/Kushaurika, wachezaji wa zamani kama kina China walikuwa wanajua kupokea ushauri na kufanyia kazi. Hawa wa leo wanazaliwa wanajua, kwa hiyo ni wabishi mno. matokeo yake ni kuwa viwango vyao vina ukomo, vinakomea kwenye kipaji peke yake. kipaji ni kama motherboard ya computer,haitaweza peke yake kufanya makubwa hadi vitu vidogo kama power cables viwepo.
2. Wachezaji wa sasa hawajitambui, kutojimbua kwao kunasababisha wao kutothamini uwezo wao na heshima waliyonayo mbele ya jamii. Mtu ukitambua uwezo wako lazima utaupalilia maana ndio utakaokuletea ulaji. Wangejua thamani yao, wangekuza vipaji vyao ili wafaidike kama wenzao kina Ettoo, Mariga na wengineo.
3. nidhamu ya uwanjani ni muhimu sawasawa na nidhamu nje ya uwanja. Wachezaji wa zamani walijua kufuatilia mazoezi,mbali na yale ya mwalimu walikuwa na ya kwao binafsi. Angalia beach siku hizi hukuti wachezaji wakifanya mazoezi kama wachezaji wa enzi zile. utaniambia kuna Gym, ni gym ngapi zinajaa wachezaji?
kikosi hicho kilikula mkono kwa the Cranes,chezea Majidu Musisi na Jackson Mayanja wewe?
ReplyDeleteHakuna lolote je tumefuzu mara ngapi mataifa ya AFRIKA enzi zao hao nao wanaongea tu mimi sidhani pia kama tungeweza kwenda mbele kwani nchi yenyewe imekaa nyuma nyuma tu na hao ndo walikuwa nyuma nyuma tu hakuna lolote la kuwakumbuka katika ngazi ya TAIFA.
ReplyDeleteWa kwanza kushoto nadhani ni ISSA ATHUMANI MGAYA.
ReplyDeleteKikosi kilikuwa cha hatari sana, ila kilikosa sapoti kutoka serikalini.Pia F.A.T wakati huo ilikuwa magumashi.Si mnakumbuka tuliwachapa Les Leopards(ZAIRE) 1-0 Taifa!?.Pia tulitoka 2-2 na Black Stars Kirumba nyakati hizo hizo.
mchunga bakari
ReplyDeleteyuko wapi athumani china siku hizi
ReplyDelete