Search This Blog

Monday, October 3, 2011

KALI YA LEO: MASHABIKI WA BAYERN WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI JUKWAANI



Katika hali ya kushangaza mashabiki wa klabu ya Bayern Munich walikutwa wakifanya mapenzi kwenye jukwaa katika mechi ya Bundesliga dhidi Hoffenheim iliyofanyika katika uwanja Neckar-Arena juzi Jumamosi.
Ndani ya dakika 16 tangu mchezo uanze, wapenzi hao waliokuwa katika jukwaa la mashabiki wa Bayern walionekana wakifanya mapenzi.
Wapenzi hao walionekana wakiwa wameshusha nguo za chini huku wakifanya majambozi huku watu wengine waliowazunguka wakionekana kutokushitushwa na tukio lile, lakini haikuchukua muda kabla ya walinzi wa uwanja kuingilia kati na kufanikiwa kuwastopisha na kuendelea na mambo yao.
Wapenzi waliacha kufanya mambo yao baada ya walinzi kuingilia kati lakini katika kipindi cha mapumziko bibi na bwana hao walirudia tena kufanya mapenzi hali iliyopelekea kutolewa amri ya kuwatoa nje ya uwanja na kukamatwa na polisi kwa kosa kufanya mapenzi hadharani.

4 comments:

  1. Wanahitaji counselling toka kwa sexual psychologist kwsbb hy ni dhahiri kwamba wana sexual disorders!

    ReplyDelete
  2. Hawa jamaa ni noma hiyo siku walikua na hamu sana nini maana?ama muda mwingine ni pombe tu jamani hizi zinafanya watu wawe hivi?Haya ndo makubwa ya huko ujerumani.Hii ndiyo dunia bwana siyo tu vituko vya kina Baloteli hata hawa wamo pia.

    ReplyDelete
  3. bac hao wakiwa nyumbani ni game masaa 24bac hao wakiwa nyumbani ni game masaa 24

    ReplyDelete