Taarifa nilizozipata hivi punde Mwenyekiti wa chama cha soka Manispaa ya Temeke jijini Dsm, Bwana PETER STEPHEN MHINZI ametenguliwa uraia wake wa Tanzania baada ya uchunguzi wa kina kubaini kuwa wazazi wake hawakuwa Watanzania ingawa yeye binafsi alizaliwa nchini Tanzania.
hini ni zengwe tu.... hakuna lolote.
ReplyDeleteSafi sana. Big up uhamiaji
ReplyDelete