Klabu ya Chelsea imepata pigo katika harakati za kuwania ubingwa wa ligi kuu baada ya kiungo wake tegemeo Mghana Micheal Essein aliyeumia goti last week akiwa mazoezini.
Chelsea kupitia mtandao wake leo imethibitisha kuwa Essein atakuwa nje ya uwanja mpaka January 2012.
No comments:
Post a Comment