HII NDIYO SOCCER CITY AMBAPO MPAMBANO KATI YA IVORY COAST NA BRAZIL ULICHEZEWA,HII ILKUA NI TAREHE KAMA YA LEO MWAKA JANA KWENYE WOZA 2010, IT WAS MY FIRST KUINGIA KWENYE UWANJA HUO.
MASHABIKI WA BRAZIL...
HAPA TULIKUTANA NA MASHABIKI HAWA WAKATI TUKIELEKEA UWANJA WA SOCCER CITY KUANGALIA MPAMBANO KATI YA BRAZIL NA IVORY COAST.
LUIS FABIANO ALITUIBIA WAAFRIKA! EBU CHECK KWELI HAKUSHIKA ?
No comments:
Post a Comment