1: Inawezekana kabisa Falcao akawa amepishana
na bahati kama Owen alivyoenda Madrid
2: Koke anastahiki kuanza timu ya taifa Spain
mbele ya Xavi au Xabi
3: Si vibaya kumuiga alokutangulia kazini, leo Pep
amekopa maarifa kwa Heyckens walikuwa
wepesi na wenye haraka akiendelea hivi
anaweza kutetea taji.
4: Ukitaka kucheza dhidi ya Messi zungumza na
Simeone anampatia kweli sio kawaida
5: Psg walimkosa aina ya akina (Benitez), Blanc
hajui kucheza knockout
6: Bale bado Madrid haiwezi ama haijafanikiwa
kujengwa kupitia yeye, wanamuhitaji Ronaldo
alie fiti kuvuka panapofuata
7: Mourinho ana mdomo mchafu lakini akili yake
na maamuzi ni ya kitanashati, bonge la kocha
8: Walau ukutane na bayern na sio hawa Atletico
kwa sasa, wana TIMU sio wachezaji, kuwafunga
inabidi upigane kwa aslimia 150
9: Unataka nusu fainali iliyo bora sasa weka
maombi iwe Atletico V/s Bayern na Chelsea V/s
Madrid
10: Diego Simeone V/s Rodgers yupi kocha bora
mwaka huu?????? Hapo mtanisaidia wenyeme ila
SIMEONE HUYU DAAAAHHHH acha nibaki na jibu
langu moyoni nahisi ushalijua
IMEANDALIWA NA:
6: Bale bado Madrid haiwezi ama haijafanikiwa
ReplyDeletekujengwa kupitia yeye, wanamuhitaji Ronaldo
alie fiti kuvuka panapofuata
HAPO UMENENA KIONGOZ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,GENERALY NASAPOTI ULICHOKIONA ILA KWA BUYERN NINA MASHAKA NAO KUTETEA KOMBE
Big up dauda.. 2mekusoma hapo
ReplyDeleteKwenye ucl.amefunga 5, la liga amefunga 13. Cha kuvutia zaid ni assists zake, 12 yaan akiwa amezidiwa na mchezaj mmoja tu. Koke. Nafkir kwa mchezaj mwenye msim wa kwanza ni takwimu sahihi. Ukizingatia, bale hakuletwa ili amreplace ronaldo. Ronaldo anabaki yeye kama yeye. Kutoiweza timu ni kama kaka alvokwenda madrid au owen. Naona mchango wa bale kwa kila mech. Hawez kuwa na magol sawa na ronaldo, ukzingatia c penalty taker! Mnyonge mnyongen kuna kitu kakiongeza, thts mobility
ReplyDelete