Dakika ya 90,Yanga 5-0 Tanzania Prisons - Zinaongezwa dakika 4
Dakika ya 89 Yanga wanapata bao la 5 mfungaji Hamis Kizza - Yanga 5-0 Tanzania Prisons
Mgambo JKT 0 - 2 Azam - Dakika sasa ni ya 86 huko Mkwakwani Tanga.
Dakika ya 79, Nadir Haroub "Cannavaro" anaipatia Young Africans bao la nne kwa penatiAnaingia Niyonzima kuchuku nafasi ya Ngasa
Dakika ya 75, Young Africans 3 - 0 Tanzania Prisons
Dakika ya 68, super sub Hamisi Kizza anaipatia Young Africans bao la tatu
Dakika ya 60, Young Africans 2 - 0 Tanzania Prisons - Anaingia Hamisi Kizza kuchukua nafasi ya Emmanuel Okwi
Dk 60, John Bocco anaipatia Azam FC goli la kwanza
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 2 - 0 Tanzania Prisons.
Mpira ni mapumziko, Yanga 2-0 Tanzania Prisons
HT: Azam FC 0-0 Mgambo
Prisons wanapata penalti kutokana na Oscar Joshua kucheza rafu, anapiga Mwangama anakosa
Dakika ya 37, Mrisho Ngasa anaipatia Young Africans bao la pili
Yanga imefanya mabadiliko, Ametoka Jeryson TEGETE ameingia Hussein Javu
Dakika ya 37 huko Mkwakwani bado bila bila...Azam vs Mgambo
Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Tanzania Prisons
28' Yanga 1 - 0 Tanzania Prisons
Dk 20 Azam 0-0 Mgambo
Dk 20 Azam 0-0 Mgambo
20' Emmanuel Okwi anaipatia Young Africans bao la kwanza.
Dakika ya 15, Young Africans 0 - 0 Tanzania Prisons
10' Milango ni migumu bado uwanja wa taifa
5' Yanga 0-0 Prisons
Mpira ndio umeanza hapa Uwanja wa Taifa kati ya
Young Africans Vs Tanzania Prisons
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo
1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Jerson Tegete - 10
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1. Barthez, 2.Luhende, 3.Chuji, 4.Niyonzima, 5.Javu, 6.Kizza, 7.Didier
1. Barthez, 2.Luhende, 3.Chuji, 4.Niyonzima, 5.Javu, 6.Kizza, 7.Didier
AS usual Dar Young Africans have done a wonderful job after beating Tanzania Prison 5-0
ReplyDeleteAS we know Hamis Kiiza, Nadir Haroub Emmanuel okwi their score the goals for Dar Young
Africans in Mainland Premier League
"Keep it Up". Aarif Pirmohamed.
Mkuu shaffih
ReplyDeleteKwa hisani yako, unaweza kututumia clip ya mabao ya daima mbele