Ni aibu kuona comment ya aina hii inatolewa na Wlifred Kidao,kocha wa soka,mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF,mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya TFF,mwakilishi wa chama cha makocha Tanzania(TAFCA) mkutano mkuu wa TFF.Inaonekana huyu ni mmoja wa watu wanaoshiriki kwa kiasi kikubwa kumpotosha Rais wa TFF kwa manufaa yao binafsi,na pia hana uzoefu na uongozi katika ngazi ya kitaifa.Suala la Athanas Mdamu kucheza kwa dakika 20 katika friendly match dhidi ya Namibia juzi sio kigezo cha ubora wake wa kuchezea timu hiyo akitokea academy kwani huo ni uamuzi wa kocha na hasa kama ni kocha wa kupangiwa timu na viongozi(yesman).Hatuwezi tukapiga hatua kwa utaratibu huu wa njia za mkato,mchezaji anatakiwa kukomaa kwa kucheza ligi kuu au ligi daraja la kwanza kabla ya kuchezea timu ya taifa.Tutasikia mengi hasa kutoka kwa "wang'amuzI" wa vipaji wakijisifu kwa kuwaibua baadhi ya wachezaji na kulazimisha wacheze timu ya taifa lakini mwisho wa siku hatuta"qualify" kwenda CHAN 2015.Tatizo la nchi yetu siyo kukosa vipaji bali matumizi ya vipaji hivyo na menejimenti ya soka katika nagazi ya club,FA,na programmes za kuendeleza referees,coaches,vifaa na miundombinu ya soka.Nchi hii haijawahi kupungukiwa vipaji na kwa ufupi Sunday Manara,Kibadeni,Gaga,Saidi Mwamba,Mogela,Tino,Madaraka,Jela,Mohamed Salim,Lunyamila na sasa Boban,Ngassa,Samata n.k wote walitoka katika ardhi ya nchi hii.
Shaffih,
ReplyDeleteHilo la kuwa na wachezaji wengi wa Yanga, nakubsli kabisa ni muhimu kwa mafanikio ya timu ya taifa

ReplyDelete