Search This Blog
Friday, March 14, 2014
KUELEKEA KOMBE LA DUNIA: HILI NDIO GOLI LA HARAKA ZAIDI KUWAHI KUFUNGWA KATIKA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA
Ilikuwa ni kwenye sekunde ya 90 ya mchezo ndani ya dimba la Munich Olympiastadion wakati kiungo wa Uholanza Johan Neeskens alipofunga goli dhidi ya West Germany tarehe 7 July 1974.
Goli hilo linabakia kuwa goli lilofungwa kwa haraka zaidi katika mchezo wa fainali ya kombe la dunia, hata hivyo goli halikuweza kuwasaidia Wadachi kushinda mechi hiyo na kubeba ubingwa.
Wajerumani walirudisha goli kupitia Paul Breitner na Gerd Muller akafunga goli la ushindi kuihakikishia Ujerumani Magharibi ubingwa wa pili wa dunia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hapana sio kweli...goli la haraka kuliko yote kwenye fainali za kombe la dunia ni la Hankan Sakur wa uturudi dhidi ya south korea 2002 kutafta mshind wa tatu lilifungwa sekunde ya 12 so please elimisha wapenzi wa soka vizuri...kama ni kwa match ya final tu sawa haina shida
ReplyDelete