Taarifa za kuaminika ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba Domayo anakaribia kumaliza mkataba wake na Yanga, na Simba walipogundua hilo wakazungumza haraka na mchezaji huyo na kufanikiwa kumpa mkataba mzuri huku Domayo akilamba millioni 40 kama fedha ya usajili.
Mchezaji huyo atajiunga na Simba baada ya ligi kumalizika. Simba wamejipanga kisawasawa kujiimarisha msimu ujao baada ya kufanya vibaya msimu huu - na usajili wa Domayo ni mwanzo tu wa kuimarisha timu yao.
*Happy fools day my dear readers*
April Fool day...just fool yourself!!!
ReplyDeleteHappy Fools day !!!
ReplyDeleteDOMAYO HAWEZI KUSAJILIWA NA MBUMBUMBU,MUDA WA SIKU YA WAJINGA UMESHAMALIZIKA ULICHELEWA WAPI?
ReplyDeleteACHENI UTANI WA HIVYO MTATUUA.!
ReplyDeleteJinga jinga weweeww...
ReplyDeleteShafii unanidanganya hata mimi?
ReplyDeleteKama muda umemalizika basi mhandishi atakuwa sahihi............
ReplyDeleteMbumbumbu Day
ReplyDeleteShafih acha kutupa presha wanajangwan
ReplyDeleteMbona post ni ya monday 31st March? Alijidanganya mwenyewe
ReplyDeleteWelldone cimba we are waiting to see more than that
ReplyDeleteNanyi pia msijidanganye wenyewe, siku ya wajinga ipo tarehe 31? Nafahamu ukweli wa tukio zima hadi anasaini Simba kwa Mkataba wa miaka Miwili kwa Sh 40 Mil. Ni kweli wapenzi wa Simba na Yanga... Domayo kasaini Simba
ReplyDeleteNini Damayo!!!!????? Walikuwepo akina Semnuli na chama likaendelea....let him go
ReplyDelete