Picha ya Pamoja na Waamuzi na Timu Kapteini.
Na Faustine Ruta, Bukoba
Ligi kuu soka Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo, Katika Uwanja wa Kaitaba Timu ya Kagera Sugar imeendelea kuutumia uwanja wao vyema wa Kagera Sugar Baada ya kuwafunga Maafande JKT Ruvu bao 1-0, Bao lililofungwa na Mtoto wa Nyumbani hapa Kagera aliyetokea timu ya Toto ya jijini Mwanza msimu uliopita.
Kona iliyopigwa na Mohamed Hussein (Shabalala) na Daudi Jumanne kuupoza kwa kichwa kwa kumgawia Erick Kyaruzi na hatimae kuutokomeza mpira huo langoni mwa Lango la Maafande JKT Ruvu katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza katika dakika ya 43.
Mpaka dakika za mapumziko zinamalizika timu ya Kagera Sugar Ndio ilienda mapumziko ikiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya JKT Ruvu.
Kipindi cha pili JKT Ruvu walilazimika kumtoa Kipa wao na kumwingiza kipa mwingine baada ya kuumia kwa kipa wao kwa nza katika kipindi cha kwanza.
Kipindi hicho hicho cha kwanza mwanzoni akikuwa chema baada Kocha wao JKT Ruvu Fredy Felix Minziro kutolewa nje ya Uwanja na kuutazamia mpira huo kwa mashabiki baada ya kufanya kile ambacho kilikuwa si sawa kwa mwamuzi Kamisaa wa mchezo huo.
Kikosi kilichoanza cha Maafande JKT Ruvu
Benchi la Kagera Sugar
Mtanange ukiendelea....
Kipa wa JKT Ruvu akijisikilizia maumivu..
Mapande ya Kagera Sugar yalimpa taabu kipa wa JKT Ruvu
Kona iliyozaa bao kwa Kagera Sugar iliyopigwa na Shabalala wa Kagera Sugar
Erick Kyaruzi akishangilia baada ya kufunga bao
Kapteni wa Kagera Sugar akimpgeza Erick Kyaruzi baada ya kuwapachikia bao la kichwa
Asante Baba!!!
Erick Kyaruzi
Erick Kyaruzi akirudi uwanjani baada ya kuwapa bao Kagera Sugar
Nyimbo zikiendelea.................. ole ole oleeee....
Yes yes yes yes !!!!!!!
Mashabiki wa Kagera Sugar wakishangilia baada ya bao lililofungwa na Erick Kyaruzi
Mashabiki wa Kagera Sugar wakiendelea na nyimbo zao kuitaka Kagera ishinde tena leo
kipindi cha pili mapema kipa alieumia bega aliotolewa na kuingia kipa mwingine wa JKT Ruvu
Patashika kwenye lango la JKT Ruvu kipa akipangua..
KOCHA FREDY FELIX MINZIRO akiendelea kutazama kipindi cha pili jukwaani kwa mashabiki
Mtanange umemalizika...
No comments:
Post a Comment