Search This Blog

Tuesday, February 4, 2014

MJADALA: BAADA YA JANA CHELSEA KUIFUNGA MAN CITY BAO 1-0,TIMU IPI UNAIPA NAFASI YA KUTWAA TAJI LA EPL MSIMU HUU.


8 comments:

  1. ki haki mm naona man city wana nafasi kwanza wana timu nzuri wana rekodi nzuri msimu huu wakuzifunga timu kubwa wana magoli mengi na wanacheza mpira unaovutia arsenal siwapi nafasi maana naona kama safari yao inakaribia mwisho

    ReplyDelete
  2. Timu tatu za juu yoyote inaweza kuchukuwa ubingwa,Arsenal wamepigana mpaka sasa wapo nafasi nzuri ni muda mrefu hawajawahi kufanya maajabu kama haya nawapa nafasi lkn pia CFC na Man City nao wanatisha,timu zote tatu zinanafasi sawa

    ReplyDelete
  3. Mtaishia kusema ivo hivyo,Ooh Arsenal siwapi nafasi,kwani ww ni nani? Msimu ndo unaisha hivyo. Una haki ya kusikilizwa maoni yako sawa,Ila kubali,Usikubali ARSENAL ndo Kiboko yenu,ARSENAL ndo MTABE wenu Msimu huu. Mpira hauchezwi kwa mtazamo. We tulia ushuhudie wanaume(ARSENAL) wanafanya nini.

    ReplyDelete
  4. Nadhani Man city wanaweza kuwa mabingwa kwakua wana consistency ila pia tusiwadharau Chelsea na ndio timu pekee ambayo haijafungwa na zile Top4 waliwafunga Liver, Man city na kudro na Arsenal. Hivyo wakifanikiwa kuwafunga Arsenal na Liver watakua na nafasi nzuri sana ya kuchukua ubingwa.

    ReplyDelete
  5. kwenye ubingwa mimi arsenal siwaweki hata, wana uwezo mdogo sana dhidi ya tim kubwa, bingwa Chelsea au man city arsenal nafasi ya tatu uhakika

    ReplyDelete