Search This Blog

Thursday, January 23, 2014

TFF MNALIPA KISASI ? IS IT A SABOTAGE ?


17 comments:

  1. we jamaa usiwe mburula unafahaam kbisa huyo okwi aliruhusiwa chezea villa ya kwao kwa kibari maaarum. so nyie na akili zenu fupi mnajifanya mnavijisenti kumbe mna nunua matatizo sasa km mnakiburi em jaribuni kumtumia huyo okwi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hans POPE aliwapa angalizo kuwa wameingia mkenge, hawakusikia. Msiwalaumu TFF, wao wamechungulia CAF wakaona jina la Okwi limo kwenye list ya ETOILE wakaona eeeh ishakuwa noma.

      Delete
  2. Ww jamaa nimekuzarau okwi alipewa kibali maalum cha kuchezea vila ili kunusuru kipaji chake kama uliiskila taarifa ya tff nanakuu kuna kesi tatu zimefunguliwa fifa moja simba wanadai pesa zao pili waarab wanamshtaki okwi kwa otovu wa nizam tatu okwi anadai mshahara wake je kuna kikao gni cha fifa kilichosema okwi ni mchezaji huru nyinyi yanga mkamsajili subirini maamuzi ya fifa yatoke ndio ulalamike

    ReplyDelete
  3. Huyo jamaa ni mwehu anaandika utumbo. TFF ya kila Angetile imeibeba sana Yanga leo anaongea nn? Kumbuka issue ya nembo ya voda, kumbuka kipigo cha Nkongo nk na wewe ShaffihDAUDA unabandika tu

    ReplyDelete
  4. TATIZO LIKUJA HAPA KWANINI TFF WALIPITISHA JINA WAKATOA LESSEN
    NA KUKAA KIMYAAA KWA MWEZI MZIMA BILA KUULIZA FIFA, SASA KWA NINI WANAIBUKA LEO
    SIKU 2 KABLA YA LIGI KUANZA . AU NDO HUJUMAAA NA KUKOMOANA.....

    ReplyDelete
  5. Ni kweli huyu jamaa anazungumza pumba tu kila kitu TFF inatuonea hata km inaamua usawa TFF inawaonea kwa lipi Tanzania kuna timu nying sana iweje TFF iwaonee nyinyi tuu ?nyinyi yanga mna matatizo na hili lafahamika sana km mna matatizo haiwezekan kila ck yanga muwe na matatizo ktk usajili ,usajili wenu ni wa kimagumashi we angalia mlivyomsajili chuji ,yondani,twite,Ngasa na wengine weng lkn wote hawa TFF iliwaidhinisha Yanga hapo hamkusema TFF inawapendelea acha lawama csizo na msingi fuateni sharia muone km mtaonewa km unavyosema na subirin Rungu la fifa laja mseme vzr fifa pia inawaonea

    ReplyDelete
  6. UNAWEZA KUWA NA PESA LAKINI UKAKOSA AKILI YA KUITUMIA! YANGA MMEMPATA MANJI MNAJIBURUZIA TU MNAPONDA MAHELA YAKE MNANUNUA HATA VISIVYOFAA SI NI MAHELA YA BILA JASHO YA KUPEWA TU.
    OKWI ANA MATATIZO NA CLUB YAKE HALAFU MNAIULIZA VILA KAMA ANA MATATIZO NA VILA INATAKA PESA UNATARAJIA JIBU GANI? WATAKWAMBIA HANA TATIZO NI WETU LETA PESA. SASA LIMENUKA UNAAINGIZIA TFF! VERY JINGA!!

    ReplyDelete
  7. ACHENI UBWEGE NYIE, YANGA IPO MAKINI NA KILA INALOLIFANYA. TATIZO LIPO KWENU VILAZA WENYE NEGATIVE PERCEPTION.
    SWALI DOGO TU "KWA NINI TFF ISUBIRI ZIBAKI SIKU MBILI TU LIGI IANZE NDO WAKURUPUKE? LIGI ILISIMAMA KWA MIEZI MITATU, WALIKUA WAPI SIKU ZOTE HIZO WASITOE MAAMUZI ILI SWALA LISHUGHURIKIWE KWA NAFASI? UNAHITAJI KUWA NA SHAHADA HAPO ILI KUELEWA UOZO UNAOFANYWA NA TFF? TUMIENI AKILI JAMANI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pitia web ya du sahel katika orodha ya wachezaji wake jina la okwi limo,then useme yanga walikua makini kiasi gani

      Delete
  8. anaweka angalizo la kuto kutukana wakati yeye anawatukana TFF kwamba ni mashetan, kweli nyani haoni kundule na mkuki kwa nguruwe

    ReplyDelete
  9. Hao Villa na FUFA hawatapona kwa FIFA kama watakuwa wamefanya udanganyifu.Masuala haya yakishafika FIFA hayawi kama wewe hapo juu unavyodhani.Ukiangalia website ya Etoile du Sahel utaona Jina la Okwi liliondolewa kwenye orodha ya wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kukamilisha uhamisho wa kujiunga na Yanga.Halafu ili FA itoe ITC lazima taratibu za uhamisho ziwe zimekamilika kupitia mfumo wa TMS(Transfer Matching System) mtandaoni ambao unaratibiwa na FIFA na taarifa zote za uhamisho zinakuwamo hususan mkataba,malipo n.k.Kinachoendelea TFF ni fitna za watu wachache kama vile Kaburu,Kidau na Hanspope ambaye yuko kwenye kamati iliyomzuia Okwi.Hii ni mbinu ya kuidhoofisha Yanga katika mechi za mwanzo za duru la pili kama ilivyofanyika kwa Ngassa duru la kwanza.TFF mpya mambo yale yale

    ReplyDelete
  10. Acha pumba we Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa inaongoza ligi je okwi alikuwepo? Sasa TFF inawadhoofisha nini? Km ni maamuzi ck zote yanatolewa na Yanga inalalamika hivyo hvyo hata km kina kaburu na kidau hawajaingia madarakan TFF leo hii kuwa madarakan wao ndo mnaonewa, hamkumbuki kipindi cha kina Angetile? Wacheni ubabaishaji naTFF haipangiw mda wa kutoa maamuzi ni mda wowote inategemea na mipango yao

    ReplyDelete
  11. NIMELIKE COMMENTS ZAKO HAPO JUU YANGU.

    ReplyDelete
  12. Mwenyewe umetukana alafu hautaki kutukanwa.
    ligi ilisimama miezi mitatu kwani nyie mna miezi mitatu tangu mumsajili huyo Okwi? Tatizo la usajili wa kuikomoa Simba huo....imekula hiyo

    ReplyDelete
  13. Hivi kwanini mnapenda kubishanaaa wkt issue iko clear kabisaaaa,,Yanga Okwi ni wenu,,cimnaye clabuni kwani kuna tatizo ganii,,?.atakaa kwenu bila kucheza mpira hadi atakapomaliza mkataba wake na Watusia ndipo mtaanza kumtumiaaaaa,,,,km mtaonaaa mnachelewaaaa swala ni kurudi na kufuata taratibu 2 za uhamisho kwa wa tunisi muwape pesa awe wenu,,,,,,,,,,,,Janja ya niniiiiiiiiiiiii Yanga,,,,,,,,,,

    ReplyDelete
  14. TATIZO KUNA WATU WANACOMMENT KWA KUKURUPUKA AU UPEO WAO WA KUCHAMBUA ISSUES NI MDOGO.Yanga ilimsajili Okwi ili kuimarisha safu yake ya ushambuliaji na sio kuifunga simba. Hata kama walimaliza duru la kwanza wakiwa wanaongoza ligi,bado waliona umhimu wa Okwi kwenye timu yao na kweli katika mechi chahche alizokwishacheza ameonyesha umuhimu huo hasa ile mechi aliyocheza dakika 45 tu akiwa na mazoezi ya siku moja na bado akafunga goli.Msimu uliopita Yanga walichukua ubingwa na bado walimsajili Ngassa kuimarisha safu ya ushambuliaji sio kwa ajili ya kuifunga simba.Ajenda ya Yanga ni kufanya vizuri kwenye mashindano na sio kuifunga simba.Mfano mzuri ni simba ambao pamoja na kuifunga Yanga 5-0,3-1 lakini hawajaenda kokote na hadi sasa hawana kombe lolote na kwenye ligi wanashika nafasi ya nne.Kwa hiyo mchangiaji wa hapo juu aliyesema kwamba TFF haijadhoofisha Yanga sababu iliongoza ligi bila Okwi nina wasiwasi kama anajua mpira zaidi ya kusubiri matokeo ya mechi

    ReplyDelete
  15. Wewe ulo comment hapo juu nafikir hujaelewa dhumuni la mchangiaji alilokusudia mpaka kusema yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa inaongoza ligi bila okwi jaribu kuuliza uelimishwe ndo utoe hukmu inavyoinesha utakuja kumuacha mkeo bila kumpa nafasi ya kujieleza jarib kuuliza kwanza sawa km umeoa lkn, dhumun la mchangiaji kusema hivyo ni kwamba ikiwa TFF lengo lao ni kuidhoofisha yanga wasingesubir mpaka asajiliwe okwi ndo waidhoofishe kwa nini wasiidhoofishe tangu mzunguko wa kwanza? Wakaiwacha yanga inaongoza? Yanga inashinda bila okwi na inafungwa na okwi akiwa ndani ya timu.acha kuropokwa uliza kwanza.

    ReplyDelete