Mwacheni rais tenga apumzike kwa amani,ameufanyia mengi mpira wa tanzania hasa sehemu ya utawala iliyokua imeoza na pia amerejesha imani ya sponsors kuwekeza kwenye mpira,kina malinzi wacheze mpira sasa,halina visingizio tena tenga ameshatengeneza system wao wacheze mpira tufike world cup na kila mahali
Nakuunga mkono mchangiaji wa hapo juu.Tenga ametengeneza taasisi inayoheshimika nje na ndani ya nchi na pia nje na ndani ya soka.Malinzi atekeleze ilani iliyokuweka aliyoitumia kupata uongozi asitafute visingizio.Waandishi wa habari mmeshambeba sana Malinzi hebu sasa mwacheni asimame mwenyewe ameshamaliza siku 100 tangu aingie madarakani, hebu waandishi wa habari jiheshimuni msiitukane taaluma yenukwa ajili ya kumfurahisha mtu mmoja
Mwacheni rais tenga apumzike kwa amani,ameufanyia mengi mpira wa tanzania hasa sehemu ya utawala iliyokua imeoza na pia amerejesha imani ya sponsors kuwekeza kwenye mpira,kina malinzi wacheze mpira sasa,halina visingizio tena tenga ameshatengeneza system wao wacheze mpira tufike world cup na kila mahali
ReplyDeleteNakuunga mkono mchangiaji wa hapo juu.Tenga ametengeneza taasisi inayoheshimika nje na ndani ya nchi na pia nje na ndani ya soka.Malinzi atekeleze ilani iliyokuweka aliyoitumia kupata uongozi asitafute visingizio.Waandishi wa habari mmeshambeba sana Malinzi hebu sasa mwacheni asimame mwenyewe ameshamaliza siku 100 tangu aingie madarakani, hebu waandishi wa habari jiheshimuni msiitukane taaluma yenukwa ajili ya kumfurahisha mtu mmoja
ReplyDelete