Yani yanga na simba ni mabingwa wa kuigiliziana! Eti kwakuwa yanga wamemchukua kaseja,simba nao wamemchkua berko!! Hapo soka la bongo halitaendelea kamwe!
Yanga na Simba mnachekesha kweli kama alivyosema mdau hapo juu,mmekuwa kama mk* na mk* mwenz*(samahani kwa ulinganifu huu kwa atakayeuelewa) "kuigilizana".Hakuna hata timu(Simba wala Yanga) yenye malengo ya kucheza walau CAF Champions league last 8 au 16 au final au hata kucheza robo fainali ya CAF CONFEDERATION CUP.Eti Simba wanamchukua kocha mzungu kwa sababu Yanga wana kocha Mzungu!
berko tunakukaribisha msimbazi ya jangwani waachie wenyewe kuwa mpya njoo ufanye kazi upya na mambo yako yawe mapya
ReplyDeleteYani yanga na simba ni mabingwa wa kuigiliziana! Eti kwakuwa yanga wamemchukua kaseja,simba nao wamemchkua berko!! Hapo soka la bongo halitaendelea kamwe!
ReplyDeleteYanga na Simba mnachekesha kweli kama alivyosema mdau hapo juu,mmekuwa kama mk* na mk* mwenz*(samahani kwa ulinganifu huu kwa atakayeuelewa) "kuigilizana".Hakuna hata timu(Simba wala Yanga) yenye malengo ya kucheza walau CAF Champions league last 8 au 16 au final au hata kucheza robo fainali ya CAF CONFEDERATION CUP.Eti Simba wanamchukua kocha mzungu kwa sababu Yanga wana kocha Mzungu!
ReplyDeleteDavid V
berko ni kipa mzuri lkn inabidi aache kujifanya kaumia pindi anapoona mechi ni ngumu
ReplyDeleteWhether we want or not frankly speaking berko is the best goalie among all in tanzania
ReplyDelete