Kiungo mshambuliaji Ronaldinho Gaucho amejerea kiwanjani kwa kishindo baada ya kuifungia timu yake ya Atletico Mineiro mabao yote mawili kwenye mchezo wao wa ligi kuu ya nchini Brazil dhidi ya Victoria.
Gaucho ambaye alikuwa nje kwa kipindi cha miezi miwili alirejea jana kwenye mchezo wa mwisho wa msimu na kufunga mabao hayo moja kwa free kick ya hatari.
Kama unajua unajua Tu.no one like gaucho,watasubiri sana
ReplyDelete