MJADALA: NINI MAONI YAKO JUU YA SINEMA YA OKWI KUTOKA SIMBA- ETOILE DU SAHEL-SC VILLA NA SASA YANGA.
Emmanuel Okwi akiweka alama ya Dole Gumba mbele ya Mjumbe wa Kamati ya Mashindao Musa Katabaro (kushoto) wakati akisaini mkataba wa kuichezea Yanga mpaka mwishoni mwa msimu wa 2015/2016. kulia ni mwanasheria/meneja wa Okwi Bw. Edgar Agaba
Kwa kweli hii move ilikuwa nzuri sana,ila mwisho wa siku inaonekana inaanza kufikia tamati,hii inaonesha jinsi gani wahusika walivyo cheza vizuri kwenye tamthilia hii,nacho furahi kwenye move hii wahusika wakuu walikuwa simba,okwi.mwisho wa siku wanajitokeza wahusika wengine ambao ni yanga na villa.tamthilia hii ilianza baada ya muhusika kutakiwa kwenda kituo kipya cha kazi ambacho ni tunisia huku sisi wafuatiliaji tukiambia mwajiri wake wa zamani atapewa mamilioni ya pesa sasa leo hii sinema inafikia tamati anaye pata pesa mtu mwengine,hakika hii muvi ilikuwa nzuri ila mwandishi hakufanikiwa kwa kuwa haja tuonesha ukweli wa tamthiliya yenyewe hatujui kama kweli mwajiri wake wa zamani alipewa pesa ama laa na ni vp yanga wame mchukua huuyu mchezaji,all in all hongera yanga.by Kuntah kinte.
ReplyDeletemimi na shangaa viongozi wa simba cjui wanafanya nn
ReplyDeleteHamna mjadala,tunachotaka rage arudishe hela za mauzo ya okwi.....!
ReplyDeletekiukweli huu ni mchezo ambao bin kleb aliupanga yaan kiukwel okwi hakua na mapenz na Simba coz angekua na mapenz ya Simba angerud kuichezea Simba zen hongera bin kleb kwa kucheza filamu bt Rage arudishe pesa za wanasimba
ReplyDeleteme bdo ninashaka na usajili huu sababu tuliambiwa kuwa Okwi ameruhusiwa kuchezea VILLA kwa ruhsa maalumu kutoka FIFA kwa muda wa miezi sita,sasa hainiingii akilini inakuwaje huyu jamaa anasajiliwa na YANGA akitokea VILLA na je ina maana ETOIL walishamuuza kwa VILLA?....kwa jinsi ilivyo hapa inaonekana wazi VILLA ndio walikuwa wanammiliki OKWI....
ReplyDeleteHapa cha msingi Rage arudishe dola 300,000 kama anataka amani ndani ya Msimbazi amasivyo tutaonana wabaya kwenye suala hili sijui simba wamempaje uongozi mtu tayari alishafungwa jela.
ReplyDeletehiki ndicho kitanzi chake Rage .Ukweli utajulukana kama alikula hela za okwi walivyomuuza kwa waarabu au lah. kama kweli kesi bado ipo FIFA Yanga wataula wa chuya watakuwa wameingizwa mjini ama sivyo RAGE hapa lazima awajibike kwa kujiuzulu uenyekiti wa simba na pia kujiuzulu ubunge
ReplyDeleteMpira fitna. kama kuna siku ambayo mpira umenishangaza ni leo na issue ya Okwi, hasa kuambiwa Yanga wamepata hadi ITC. Simba kumuuza sina tatizo mi ni kaondokaje Tunisaa kwenda villa. niliambiwa ni kwa muda wanasubiri maamuzi ya FIFA, sa sijui yameshatoka au la. Nilimsikia HansPope akidai Okwi ni mchezaji wa Tunisia anayemtaka aende akalipe dola laki tatu wamchukue, sasa leo Yanga wanailipa villa Dola 20,000 u wanamchukua. kama ni mipango ilipangwa hivi toka mapema nawaheshimu sana hawa watu wa Yanga. Kwa ujumla wamepata bonge la mchezaji. Ila huyu Bin Kleb apewe timu ya Taifa kunakitu anaweza kufanya huyu tukafurahi wote. Pongezi kwa uongezi wa Yanga Hongereni Yanga. Simba watujibu haya, malipo ya Okwi yamefikia wapi? nilishawahi kusema kuwa hawa viongozi na safari zao za Tunisia watakuwa walivuta hela
ReplyDeletehapo simba mchawi ni rage kumbukeni. Kevin Yonje, Mbuyu Twite na sasa Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteSidhani kama kuna sbb ya kurudisha pesa zenu,wajinga ndio waliwao. Big up rage tafuna hela zao kwani uchaguzi ujao hawawezi kukuchagua tena huu ndio wakati wako kula.YANGA OYEE DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
ReplyDeleteRage njoo utuambie nani kaingizwa mjini, Yanga na sc villa au Simba tumeuzwa na wewe, na safari hii hamna kulia, mtu mzima kama wewe ukituzuga kwa kulia safari hii hatutakuelewa. Hata hivyo tushachoka ubabaishaji
ReplyDeleteAs ante Yanga,mambo hayo ndiyo tunayotaka wanachama pamoja na mashabiki,big up uongozi wetu,Yanga mbele daima nyuma mwiko!
ReplyDeleteNyie gombanen na kushikana mashati kumtafuta aliyekula hzo fdha lkn mchezaj ashatua yanga na 2naxubir mambo yaanze 2wapge mkose cha kuxema
ReplyDeleteMUDA MUAFAKA KWA WATU MAKINI, NYIE ENDELEENI KUTAFUTA HELA ZILIKO, WENYE AKILI ZAO WANASONGA.
ReplyDeletehuyu bin kleb anaonekana ni mtu Janja sana na ana mtandao mzito sana inaonekana hashindwi kitu bt mm ambacho nahtaj kujua okwi katokaje tokaje tunisia akatua Uganda na katokaje tokaje Uganda akaingia Yanga zen hivi kweli kwa hal halis Ilivyo Okwi hapaswi kukipiga Yanga bt kama akikipiga Yanga michuano ya Caf na akaruhusiwa na Caf bas mkataba wa Okwi kwenda etoile ulikua na kasoro kubwa or Mzee wa Pama Rage kazipiga coz yule jamaa ashawahi kuiba pesa za FAT na alifungwa kwa wiz sasa inakuaje mtu kama huyu anapewa mamlaka makubwa kwenye club kubwa kama Simba??
ReplyDelete