Vijana wamejitahidi, tatizo lilikuwa ni uwanja. Hata goli tulilofungwa lilitokana na hali ya uwanja na mvua iliyonyesha. Tunaonekana hatukujiandaa na hali ile, tofauti na wenzetu ambao walishajipanga kwa hali ile na ndio maana wakawa wanapiga sana mashuti golini huku washambuliaji wao wakihakikisha incase kipa atatema. Otherwise hongera Stars!mmejitahidi!
Mi nadhan hata kocha wetu kachangia kwa kias fulan,mm binafs nlsktishwa sana na sub aloifanya ya kumtoa kiemba na kumuingiza farid ambae hakuonesha mchango wowote,nilitegeme angewaingiza akin chanongo au Singano kwa sabab huyu farid hajawah hata kumtumia hata sik moja hvo hakuwa na uzoef wa kutosha,iltakia amuingize game tuloshnda walau anze kuzoea miche kubwa,af hv Tanzania yote hii hatuna bek namba3 kwann tumtumie mtu ambae so sahii kwa hyo namba,m binafs si furahshwi na uchezaji wa Nyon,naamin kwa mechi nyingi kasababsha stars kupoteza ushnd! Hvo bas sion haja ya kwendelea kuwa na kim,ameshndwa katka mashndano meng nadhan utakuwa mda muafaka wa kupata kocha mwingine
Bado kuna kazi ya kufanya zaidi ya hapo, kama kenya ni wenzetu kwa ngazi ya mpira na bado tumeshindwa hata kupata kagoli kamoja, m naona tuwekeze zaidi kwenye soka la vijana. kwan kama unaonyesha kandanda safi mbele ya shelishel harafu mwisho unafungwa lakin unajisifu nadhani hiyo sio sahihi, tumeanza kwa Maximo had leo kwa Palsen karibu miaka sita, ili bidi tuwe imara sana kwa nchi zetu za East Africa, Tusiendeleze msemo wa tumecheza vizuri,kwa timu kama kenya labda ingekuwa BUKINABE au Giant yeyote, Tukaze sana Watanzania. Today football is money. BY ERNEST
Kim tatizo lake ni kutofanya mabadiliko haraka na ya kueleweka. Mfano pale alishaona kimenuka kamuingizia farid musa ambaye hajacheza hata kwenye makundi so akawa muoga kupita kiasi kila akipewa pasi anaipoteza kirahisi sana. Kingine mi nilichoona kenya wakifika mbele walikua wanakimbizza sana ilaa sisi amri kiemba akipata pasi anapooza na mpira hadi maadui wanajipanga vizuri ilibidi afanye mabadiliko ya haraka kwa kuwaingiza chanongo na singano ili wakimbize tu coz kilishanuka tayari so mi nadhani kwa kim muda wake unatosha
Vijana wamejitahidi, tatizo lilikuwa ni uwanja. Hata goli tulilofungwa lilitokana na hali ya uwanja na mvua iliyonyesha. Tunaonekana hatukujiandaa na hali ile, tofauti na wenzetu ambao walishajipanga kwa hali ile na ndio maana wakawa wanapiga sana mashuti golini huku washambuliaji wao wakihakikisha incase kipa atatema. Otherwise hongera Stars!mmejitahidi!
ReplyDeleteMi nadhan hata kocha wetu kachangia kwa kias fulan,mm binafs nlsktishwa sana na sub aloifanya ya kumtoa kiemba na kumuingiza farid ambae hakuonesha mchango wowote,nilitegeme angewaingiza akin chanongo au Singano kwa sabab huyu farid hajawah hata kumtumia hata sik moja hvo hakuwa na uzoef wa kutosha,iltakia amuingize game tuloshnda walau anze kuzoea miche kubwa,af hv Tanzania yote hii hatuna bek namba3 kwann tumtumie mtu ambae so sahii kwa hyo namba,m binafs si furahshwi na uchezaji wa Nyon,naamin kwa mechi nyingi kasababsha stars kupoteza ushnd!
ReplyDeleteHvo bas sion haja ya kwendelea kuwa na kim,ameshndwa katka mashndano meng nadhan utakuwa mda muafaka wa kupata kocha mwingine
Bado kuna kazi ya kufanya zaidi ya hapo, kama kenya ni wenzetu kwa ngazi ya mpira na bado tumeshindwa hata kupata kagoli kamoja, m naona tuwekeze zaidi kwenye soka la vijana. kwan kama unaonyesha kandanda safi mbele ya shelishel harafu mwisho unafungwa lakin unajisifu nadhani hiyo sio sahihi, tumeanza kwa Maximo had leo kwa Palsen karibu miaka sita, ili bidi tuwe imara sana kwa nchi zetu za East Africa, Tusiendeleze msemo wa tumecheza vizuri,kwa timu kama kenya labda ingekuwa BUKINABE au Giant yeyote, Tukaze sana Watanzania. Today football is money.
ReplyDeleteBY ERNEST

ReplyDelete