1. Hapa Dauda alikuwa anajaribu kupiga chenga lakini Maestro akaziba njia, Nyuma ya picha Emmanuel Gabriel ( mwenye nguo nyekundu ) na Selemani Matola wanashangaa mpambano wa Maestro na Dauda.
2. Sasa Dauda anampa Konga Maestro lakini bado jamaa anaziba huku Matola akivizia vizia........
3. Maestro anafanikiwa kumzuia Dauda asipite kwenye upande wake,Dauda anauficha mpira wake huku akijaribu kutafuta njia mbadala..
4. Dauda huyoooo anaondoka na ngoma taratibu....huku Matola kwa mbali akivizia..
Aaah Dauda, kwa jinsi Maestro alivyokuwa anazuia ktk picha ya kwanza inaonyesha ulikuwa unatapita kwenda akakuzuia lakin baada ya kushindwa kupita ktk picha ya mwisho unaonekana umeamua kurudi ulikotoka(aka golini kwako)ukaanze upya kwa kipa wako...
ReplyDeletendo maaana ya maestrooo....kakuzuia umeshindwa kwenda mbele kinachofuata ni kupiga back pass
ReplyDeleteShafii umekwama hapo ha ha ha ha!
ReplyDelete