QUOTE OF THE DAY: '' SIMBA HAINA HAJA YA KUJUA KILICHOMO KWENYE MKATABA '' - MH ISMAIL ADEN RAGE.
Hii ni kauli aliyoitoa mwenyekiti wa Simba Mh. Ismail Aden Rage awakati akizungumzia mkataba wa uuzwaji wa haki za matangazo ya TV ya mechi za Ligi kuu ya Tanzania, baina ya kamati ya ligi/TFF na Azam Media
Wasomi wale wengine elimu chuo kikuu Manji anawabuluza!!! Maslahi ya Soka la Tanzania kwanza! Ubinafsi pembeni
ReplyDeletedu kweli huyu anawaburuza jamaa,yaani kwa kifupi anawaweza sana wekundu,kwetu jangwani zamaani angeshapaa....by kezzo
ReplyDeleteTatizo la viongozi wetu, hasa hawa wanasiasa, kwasababu wamebisha yanga ambao ni mahasimu wa simba Rage haungi mkono ingawa moyoni anaumia kwani ukweli anaufahamu. Mambo ya mjengoni anayeleta mpaka kwenye mpira mmh.
ReplyDeleteHuyu mzee kaishapagawa, nishajua siasa ni kitu kibaya sana, hawa wanasiasa hawaelweki wanataka nini, ni watu ajabu san. samba mdau mkubwa wa mpira leo mwenyekiti anatamka upumbavu huu. hatuwezi endelea kabisa. Jui aliendesha kikao cha watu 700 ajenda saba kwa saa moja wau hawamuelewa lakini kashahesabu kuwa aliitisha kikao. Hawa jamaa wanatuchezea wameuza wachezaji kibao hakuna hela iliyoingia klabuni, inawezekana na huku wameshalamba za kwao hawana shida na maendeleo ya klabu
ReplyDeleteNdo aina ya mifano ya wanasiasa wanayoingiaga..YANGA ni kama CHADEMA inafichua uozo wa mikataba mibovu!!how can we call this man he's really educated 4such wordz??wa2 hata mikataba ya kupangisha nyumba wanasoma sembuse nyie wenye maslah mikubwa??kwanini 2nakubali kuwa na viongozi wa namna hii jamani??Simba ondoeni siasa kwny mambo ya msingi!!sasa ukikuta mkataba unasema kila klabu ilipwe Millioni Kumi Tu mtasemaje kama msipo pitia kila kipengele???NIMESIKITIKA SANA KWA KAULI KAMA HII KWA MTU KM RAGE...TANZANIA TUMEKWISHA KM NDO HV..VP KUHUSU MIKATABA NA WACHINA YA BANDARI KM HAISOMWI??VP KUHUSU YA MAREKANI KM HAISOMWI??JAMANI KILA KITU UANZA NA MOJA..TUAMKE
ReplyDeletesio kuvumbua matatizo ila ni maslahi ya manji pia yameharibika, hoja ya yanga ilikuwa imejaa chuki kwani kuuziwa ngasa simba vinahusianaje na tv rights?wao walete proposal mgawo uweje sasa sio kupiga mayowe, siku zote mbona walikuwa hawajatafuta tv yao wakaonesha mechi zao,mbona walishindwa kuhakikisha vodacom anatoa mzigo wa kutosha. Manji nae anawaburuza mno pia. Supersport inamilikiwa na nani,pia mjue Azam hawajazuia mpinzani wake asishirikiane nao kama wanataka au wanae waache majungu ya kuongelea mambo ya bia. Je Manji yeye anashabikia unywaji wa bia?
DeleteYanga haiwezi kuwa kama CHADEMA. Yanga ni CCM, hata wale wazee wa muafaka wamekaa 'kichama chama hivi'!
DeleteKila mtu ana maoni yake na haki yake ya kukiongelea kitu, Rage c msemaji wa klabu na cdhani km hiyo ni taarifa rasmi ya klabu. Endapo itakuwa hivyo, basi ili kumwepusha mwanangu kuwa mwendawazimu, ctomruhusu kushabikia SIMBA YA RAGE!
ReplyDeleteKaka Majaliwa Rage kabugi tu! Wanasiasa kuropoka ni kawaida. Simba ni taasisi kubwa na yenye wadau kibao, mtu mkubwa km mwenyekiti akitamka kitu ni official. Yeye ni top. Msemaji wa timu anatumwa kusema na nani km sio kamati tendaji??????????
DeleteDuh! Rage hamnazo! Hii ni aina ya viongozi tulio nao, kwenye soka pia serikalini. Je cku ikitokea kuna kitu tofauti na wanachotangaza ktk huo mkataba itakuwaje? Rage anajua maana ya mkataba? Kwa hali hii, maendeleo yatapatikana kweli?
ReplyDeleteHiyo ni kauli yenye maana nzito sana! Wenye uwezo wa kuielewa tumeshaielewa.Tatizo lipo kwenu enyi watani ambao wengi (sio wote) kusoma mlikimbia umande! Soka gani yenye ligi ya timu imara 2 tu?kuna timu zipo ligi kuu haziwezi kusajili hata mchezaji wa daraja la nne sababu ya ukata! acheni UBINAFSI NA UJINGA NYIE MNAOJIPENDEKEZA KWA MANJI!!
ReplyDeleteNdo hivyo kibongobongo ukiwa na madaraka hamna wa kukueleza kitu.....jamaa mbunge na pia ndo mwenyekiti wa simba ila kila kitu kina mda wake wa kuisha wato tunapita
ReplyDeleteMkataba ni kati ya Azam na kamati ya ligi kwa lugha ya sheria Rage yuko sawa kwa lugha ya soka letu ni msaliti. Rage wala Simba si sehemu ya mkataba vilabu vinawakilishwa na Kamati ya ligi kama ni kuuzwa kamati ndio imeviuza vilabu
ReplyDeleteNDO MANA ALIMKOSA TWITE KWA KUTOJUA MKATABA WAKE NA FC LUPOPO UKOJE,AKAMUA KUMSAINISHA MCHEZAJ BLA KUJUA MKATABA WA TWITE UKOJE NA TIMU INAYO MMILIKI.
ReplyDeletekiongoz wa kuja kuiokoa simba bado hajazaliwa,kwa sasa kuna watafuta maslahi,lakini ujinga wa wanachama ndio matokeo ya uwepo wa viongoz wa aina hii
ReplyDeleteSitakaa niende tena Uwanja WA Taifa kuangalia timu niipendayo ya Simba mpaka Rage atakapoondoka,mtanisamehe,sijui Rage anashauriwa na nani,Ina maana mke wake Naye Ni Mjinga kiasi hicho hata ameshindwa kumshauri mme wake,mzee Rage anazeeka vibaya,Sisi mashabiki sio wajinga kiasi hicho,mjinga Sana Rage hajui aongee nini,ndo walewale watakaounga mkono hata ushoga...,
ReplyDeleteKwa lugha ya kisheria Rage yuko sahihi kwani mkataba ni kati ya AZAM TV na TFF/Kamati ya ligi hivyo simba ni upande wa tatu(third party )katika mkataba huu ila kwa soka la bongo anaonekana hayuko sahihi
ReplyDelete