Search This Blog

Wednesday, August 28, 2013

LIVE SCORE CENTRE: LIGI KUU YA VODACOM - YANGA 1 - 1 COASTAL- AZAM 2 - 0 RHINO, SIMBA 1 - 0 OLJORO - FULL TIME


Full time : Yanga 1 - 1 Coastal Union

Dakika ya 90 mwamuzi anaipa Coastal penati na Jerry Santo hafanyi makosa anaitumbukiza kimiani. Yanga 1-1 Coastal Union

 Azam wameshinda 2-0 dhidi ya Rhino Rangers mjini Tabora.

Kutoka Tanga Mgambo wameifunga 1 - 0 Ashanti Unitd 

Full time Simba 1 - 0 JKT Oljoro 

DK 88 Haruna Niyonzima anapigwa kadi ya njano.

DK 41' Simba 1 - 0 JKT Oljoro

Mtibwa 1 kagera 0- Full Time

Abdi Banda na Saimon Msuva wamepewa straight red kadi laki ni cha kushangaza mwamuzi Martin Saanya amemtoa Crispin Odula

DK Rhino Rangers 0-2 Azam

Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Coastal Union

Dakika ya 69, Didier Kavumbagu anaipatia Young Africans bao la kwanza. Yanga 1-0 Coastal Union.

DK 57 - Selembe na Msuva wanapewa kadi za njano

Dk 54 Oljoro wanapoteza mkwaju wa pen uliopigwa na Babu Ally baada ya Issa Kanduru kuangushwa na beki Joseph Owino

DK 58: Azam wanapata bao la kuongoza

DK 55 Azam 0-0 Rhino

Yanga wamefanya mabadiliko wametoka: Jerry Tegete na Salum Telela wameingia Hamis Thabit na Husein Javu

Mabadiliko Oljoro anaingia Issa Kanduru anatoka Sabri Ally.

Mabadiliko kwa Simba, Betram anatoka anaingia Said Ndemla pia anaingia Lucian anatoka Humud.

Azam Fc vs Rhino kipindi cha pili kimeanza.

Kipindi cha pili kinaanza kati ya Simba Sc vs Jkt Oljoro - mnyama akiwa mbele kwa bao 1.

Dk 45 zimekamilika hakuna bao Azam 0 vs Rhino 0


Mpira ni mapumziko Simba 1 - 0 JKT - Yanga 0-0 Coastal 

Dakika 41 Coastal wanafanya mabadiliko, anatoka Uhuru Seleman anaingia Selembe


Dk 45+ Amisi Tambwe anakosa bao la wazi akiwa na kipa wa Oljoro Shaibu Issa

Dk 40 Simon anapiga shuti kali linaokolewa na Shabaan Kado wa Coastal Union.

DK 38 Azam FC 0-0 Rhino Rangers

DK 34 Cannavaro anakosa bao la wazi.


Dk 31 Salum Telela anapewa kadi ya njano

Simba 1 - 0 Oljoro dk 34

Dk ya 33 gooooooo Shuti kali la Haruna Chanongo mita 25 linajaa kimiani kuhesabu bao la kwanza la Simba

Dk 32 Oljoro wanapata kona yao ya pili isiyozaa matunda

Dakika 30 Yanga 0-0 Coastal Union

DK 26 Simba 0 - 0 Jkt Oljoro 

Mbeya City 1 - 0 JKT Ruvu

Dk ya 20 mpira wa krosi wa beki Nassor Masoud Chollo unaokolewa na beki Nurdin Mohd na kuwa kona tasa kwa Simba

Haruna Moshi  anapewa kadi ya njano baada ya kumkwatua Domayo - Coastal 0 - 0 Yanga

Dakika ya 18: Azam fc 0 - 0 Rhino

Dk ya 20 mpira wa krosi wa beki Nassor Masoud Chollo unaokolewa na beki Nurdin Mohd na kuwa kona tasa kwa Simba

Dakika ya 15, Young Africans 0 - 0 Coastal Union - Kavumbagu na Nyosso wanaonyeshwa kadi za njano.

Dk 15: Oljoro wanapata kona wanashindwa kuitumia vizuri.

DK 10: Didier Kavumbagu na Simon Musva wanapoteza nafasi mbili za kufunga goli.

DK 10: Haruna Chanongo anapiga shuti kali linaokolewa na inakuwa kona upande wa Oljoro.

DK 05 - Yanga 0 - 0 Coastal Union
 
DK 5 Oljoro wanashambulia lango la Simba kwa kasi sana.

Mpira umeanza kati ya Oljoro vs Simba SC
 
Mpira umeanza uwanja wa Taifa Yanga vs Coastal Union

VIKOSI VYA TIMU MBALIMBALI ZITAKAZOSHUKA DIMBANI LEO 

KIKOSI CHA OLJORO VS SIMBA:
Oljoro:line up  Shaibu Issa, Yusuph Machongote, Napho Zubeir, Nurdin Mohd, Shaibu Nayopa, Babu Ally, Swaleh Idi, Hamus Swaleh, Amiri Omar, Sabri Ally, Esau Sanu

KIKOSI CHA YANGA VS COASTAL
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Juma Abdul - 12
3.David Luhende - 3
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23
5.Mbuyu Twite - 6
6.Salum Telela - 2
7.Saimon Msuva - 27
8.Frank Domayo - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Jerson Tegete - 10
11.Haruna Niyonzima - 8

Subs:
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Issa Ngao - 29
3.Oscar Joshua - 4
4.Hamis Thabit - 22
5.Said Bahanuzi - 11
6.Hussein Javu - 21
7.Nizar Khalfani - 16


KIKOSI CHA SIMBA SC
 Abel Dhaira, Nassor Chollo, Issa baba Ubaya, Gibert Kaze, Joseph Owino, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Abdul Humud, Amis Tambwe, Betram Mwombeki, Haroun Chanongo

 Sub -  Ntalla, Omar, Miraji, Zahor Pazi, Ndembla, William Luciun, Singano Ramadhan


AZAM FC SQUAD VS RHINO
1. Mwadini Ali Mwadini

2. Erasto Edward Nyoni

3. Waziri Salum Omar

4. Jockins Otieno Atudo

5. Aggrey Moris Ambrosi

6. Bolou Wilfred Michael

7. Jabir Aziz Stima

8. Salum Abubakar Salum

9. Gaudence Exavery Mwaikimba

10. Khamis Mcha Khamis

11. Kipre Haermann Tchetche

Akiba

1. Aishi Salum Manula

2. Malika Philipo Ndeule

3. David John Mwantika

4. Said Hussein Moradi

5. Himid Mao Mkami

6. Ibrahim Joel Mwaipopo

7. Seif Abdallah Karihe

5 comments:

  1. kwa yanga unataja mfungaji kwa timu zingine wamepata bao ndo kujipendekeza yanga?

    ReplyDelete
  2. Jifunze kuandika kwa kufuata nyumbani na ugenini inaleta maana zaidi, sio Simba ikiwa ugenini unaandika Simba1-0 Oljoro. Timu ya Kushoto inakuwa ya nyumbani.

    ReplyDelete
  3. thank u for ya updates.me lyk this.

    ReplyDelete
  4. Mi nadhani waandishi wa habari ifike mahali msiandike habari "kinazi" unaposema refa amewapa penalt Coastal Union unapotosha na kuwajengea hisia tofauti mashabiki wa upande wa pili.

    ReplyDelete