P O BOX 21923
DOHA, QATAR
TANZANIA FOOTBALL FEDERATION
P O BOX 1574
DAR-ES-SALAAM
TANZANIA
YAH: KUOMBA MSAMAHA KWA CHAMA CHA MPIRA TANZANIA
Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi mchezaji MWINYI KAZIMOTO naomba msamaha kwa kitendo nilichokifanya cha kuondoka kambini timu ya taifa na kuiacha nchi yangu katika kipindi kigumu hali ya kuwa walikuwa na mechi ngumu na muhimu dhidi ya Uganda.
Halikuwa lengo langu kuidhoofisha nchi yangu bali ni tamaa yangu ya kucheza mpira nje ya nchi ndiyo iliyonifanya niondoke katika kipindi hicho, na nashukuru mungu nimefanikiwa kupata team nchini Qatar, naamini watanzania wataipokea habari hii kwa vizuri.
Mwisho kabisa napenda kuwahakikishia watanzania na chama cha mpira kwa ujumla kwamba naahidi nitaitumikia nchi yangu muda wowote watakaponihitaji.
Natumai chama cha mpira na watanzania kwa ujumla watanielewa na watanisamehe.
Wenu mtiifu
MWINYI KAZIMOTO
absolutely geniusss....
ReplyDeleteu have my bless ball dancer
Failasuf..ulichokifanya ni kitu ambae tutake tusitake tumekusameh,hata kabla barua yako hii..I hope wachezaji wadogo wafatilie njia yako..We Will Miss you Failasuf...
ReplyDeletenakutakia mafanikio mema kazimoto.....wakirisha vemaa Taifa letu
ReplyDeleteTumekuelewa wetu mtiifu Mwinyi Jobfire.
ReplyDeleteAina noma, mbona poa tu..!!
DeleteMuungwana ni vitendo! Asante kwa uelewa huo! kwani kosa si kosa kiosa kurudia kosa
ReplyDeleteAll the best......
ReplyDeletehizo coments hapo juu hazina mashiko! inaonesha kuna mipango ilifanywa na baadhi ya viongozi simba pa1 na tff ili kumtorosha na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa dhidi ya kazimoto, sasa unategemea nini ikitokea kwa wachezaji wengine maana nao watafanya kama kazimoto huu ni upumbavu kabisa!!!!!
ReplyDeleteMpira una kikomo mwacheni atafute maisha yake kabla hajachoka,hata nyie mnaosema hana uzalendo mbona alishauonyesha toka zamani!!!Hata hao walioonyesha uzalendo leo wametupwa na maisha yamewatandika!! Acheni hizo kila mtu atafute maisha yake na sio kumzibia mwenzio eti uzalendo! Wote wanaosema uzalendo hawajawahi hata kusafisha mitaro ya maji kwenye mitaa yao kuonyesha uzalendo wao kwa nchi yao! mwacheni kijana afanye yake kabla hajawa gari ya mkaa!!!
Deleteumefanya vyema kaka,, simba na yanga mpaka lini?? All da best kaka
ReplyDeleteAll the best Tanzanian Iniesta
ReplyDeleteHongera Mwinyi Kazimoto kwa kutambua kosa na kuomba radhi kwa wenye mpira wao. Pia hongera kwa kupata timu huko Qatar..... Mashabiki wa soka Tanzania tumekusamehe na tunakutakia kila lakheri huko Ughaibuni.
ReplyDeleteHongera sana. Ni uungwana kukiri kosa na kuomba radhi huku ukiwa umeshatimiza lengo. Sisi mashabiki wa soka Bongo tumekusamehe na tunakutakia kila lakheri.
ReplyDeleteThats a wise idea from a wise person!!
ReplyDeleteTutakushangilia unapokwenda Failasuf..Qatar nchi maarufu sana kwa mpira..usirudi Tanzania,hakuna kitu hapa zaidi ya Mihogo na Kachumbari!!kula pesa hapo..umeshapita Failasuf..hakikisha wewe ndo Balozi wa Tanzania hapo Qatar.Mungu Akubariki.
ReplyDeleteFailasuf songa mbele nyuma usiangalie.aliyekuchukuwa Uwarabuni hajakosea,na tunamshukuru sana kutusaidia sisi kuona mmoja wa mtanzania kucheza uwarabuni mpira wa kiprofessional..
ReplyDeleteAngalia maisha yako Failasuf..uliviofanya ni sawa sawa,achana na TFF na pia Simba.walitakiwa washangilie kuwa umefanikiwa..Wewe fakhri yetu watanzania..nawewe mchezaji peke unayecheza taifa star hapo Qatar.
ReplyDeleteMimi niliposikia tu Failasuf kaondoka kwenda Qatar niliona alifanya la maana, nikawa nawashangaa Simba na TFF kusema tutahakikisha hachezi soka!!wakati wote mnajua kwamba kombe la dunia 2022 itakua Doha-Qatar alipo sasahivi Failasuf.na hio nchi naijua vizuri kuliko pote duniani,wana Gesi na pesa sii mchezo..Na leo hii Failasuf kahakikisha kabisa ni Balozi wa Tanzania huko Doha-Qatar.
ReplyDeleteBado nimepigwa na butwaa wandugu...how can a player start playing outside the country without a foreign team ask for the ITC from the Country Football body.Kazimoto ameanzaje kucheza kabla ya timu yake kupata ITC.
ReplyDeleteMwinyi umefanya kitu stahiki kwa kumalizia na official letter kwa TFF. Brilliant move. Kila la kheri na huo ni mwanzo mzuri kwa chipukizi uliowaacha Simba kuthink big na kupata mafanikio kama yako au zaidi.You gave them comfidance.We Simba funs n Simba SC will miss your service bt Maasha-Allah na kila la kheri kaka.One lov!!
ReplyDeleteBora wewe umetoroka kufuata team na umepata kuliko wengine wanahitajika alafu wanadengua na kung'ang'ania bongo. hongera mwanakwetu
ReplyDeleteUr honesty..forgiven.
ReplyDeleteVery Correct!ambae hata kuelewa ana yake
ReplyDeleteGood boy
ReplyDeleteSafi sana kijana
ReplyDeleteFanya kazi ball dancer hatuna tatizo na wewe,Watanzaia tunajua tabia yako ni mpole.Mwenyezi mungu akupe nguvu utuwakilishe vizuri.AMIN
ReplyDeletehuo n upumbavu mnao usifia ilihali mkijua kuwa katoroka wakati timu ye2 ikiwa katika hali tete na je wachezaji wengine wakiiga hyo tabia tutafika wap wajamen ndo uzalendo huo waTZ?? hakuna kuchezea tena timu ya taifa hatakama tumekusamehe hyo ndo adhabu yake inayostahil.
ReplyDeleteacha wivu ndugu yule anatafuta maisha yake,mpira ukiisha wewe utamtunzia familia wakati na yeye umri unasogea afanyaje sasa?
Deletebg up jobfire well done!
ReplyDeletebg up jobfire! najiulza ungekuwa unachezea ndala fc usngetoka wangekubania mana hawa jamaa sera yao ni marufuku mchezaj kwenda nje ya nchi endapo atapata timu..
ReplyDeletebg up jobfire! najiulza ungekuwa unachezea ndala fc usngetoka wangekubania mana hawa jamaa sera yao ni marufuku mchezaj kwenda nje ya nchi endapo atapata timu..
ReplyDeleteHakuna aliyekamilika hapa dunian na kama 2tamuukumu bas kwanza 2jihukumu cc menyewe! Maisha yke n bora zaid ili acjekuchoka den wabongo 2kaanza maneno ye2 yasiyo na kichwa wala miguu
ReplyDelete