Mgeni wa rasmi wa tamasha la matumaini Raisi Jakaya Kikwete akiongozana na marefa kuingia uwanjani tayari kukagua timu za wabunge wa Simba na Yanga |
Wimbo wa taifa |
JK akisalimiana na timu ya wabunge wa Simba |
Mgeni rasmi akisalimiana na upande wa wabunge wa Yanga |
Wabunge wa timu ya Yanga wwakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe kwa kuifunga timu ya wabunge wa Simba kwa penati 4-3. |
Alivyosimama Rais wakati wa wimbon wa Taifa ndivyo inavyopaswa.Hao wengine walioshika kifuani ndio wanaopotosha utaratibu wa kusimama wakati wimbo wa Taifa kama tulivyofundishwa tanga shuleni.Hali hii imeendelea hata kwa timu ya Taifa ambako hakuna utaratibu maalum,mara waangalie kaskazini mara washikane mabegani n.k Kuna kitu kinapaswa kufanywa na TFF,WIZARA YA MICHEZO NA WIZARA YA ELIMU ILI KUONDOA AIBU HII
ReplyDeleteHebu nijuze Shaffih katika picha yako ya mwisho wabunge wa YANGA wakishangilia kuna kijana mmoja nafikiri ni bubu alikuwa mshabiki wa SIMBA kwa mimi ninavyomfahamu lakini naona leo amevaa jezi ya YANGA na anashangilia, Je, kaamia YANGA kiushabiki na je, mtu waweza kuhama timu unayoshabikia, maana dini waweza kubadili lakini sio timu uipendayo
ReplyDelete