Search This Blog

Sunday, July 14, 2013

VIDEO: MUANGALIE MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA TAMBWE AMISI

9 comments:

  1. tunamwangalia wapi? Halafu jina lake ni Tambwe Hamis au Tambwe Amis? By PETER MASHOSHO BUGANDO UNIVERSITY MWANZA TZ

    ReplyDelete
  2. kaka mpira wa tanzania tunauweza wenyewe hawa wageni wanakuja kuuwa viwango

    ReplyDelete
  3. uongo kabisa Tambwe HAMISS huyo yuko HAPA bujumbura na jana tulikua nae kwenye uwanja wa mwana mfalme louis rwagasore tunaona nae mechi msidanganye watu jamani

    ReplyDelete
  4. tukisema shaffih ni mnazi wa mnyama mnabisha, we ona tu blog yake inavyoegemea habari za msimbazi, inaonekana habari za mnyama ndio yuko interested nazo na anazipata kiurahisi tofauti na zaupande mwingine mara nyingi huwa zakukandia au zisizo na tija......we wafuatilie vzr hata kipindi chao utajua manazi ya mnyama ni luambano alex, shaffih, na maestro ingawa nae jeffy anaibia ibia but ni walewale..

    ReplyDelete
  5. low quality kwa vile we ni mnazi wa Simba utatulisha tuu hata matango pori

    ReplyDelete
  6. Wala msimtuhumu Shaffih kama ni mnazi wa Simba bali unazi mlionao kwa Yanga ndio umewafanya kumwona kuwa yeye ni mnazi wa Msimbazi. Ukweli unajionesha na mala nyingi uchambuzi wake ni mzuri,msiwe na mtindio wa ubongo wa kutoa maoni kwa namna ya kumponda mtu kwa kuonesha mapenzi waziwazi. Shaffih wewe bonge la mchambuzi wa michezo endelea kuchambua na kueeleza ukweli kama unavyo mathalani kwa timu hizi maasimu. Kumbuka huwezi kumlizisha kila mtu. REMEMBER HUMAN BEING BY NATURE IS SELFISH....!

    ReplyDelete
  7. mimi namjibu huo mrundi aliesemankuwa tambwe wako nae burundi ni kweli ila angekumbuka kwanza maneno ya zakaria hans pope kuwa tunamsainisha kisha anarudi kwao kwenda tumikia taiafa lake kwa hiyo hao kumuona huko ni sawa ila kama akija huku na yeye kishasema ni uongo atatutaka radhi?aache uyanga wake.

    ReplyDelete
  8. yanga wanachekesha kweli mchezaji yoyote akija simba kwao inakuwa karaha na tabu na maneno mengi kuwatoka akienda kwao. ndio furaha na sifa zote mimi haja ya wao kuleta maneno sie ndie wao haiwahusu waendelee na yao wayuachie yetu

    ReplyDelete