Akizungumzia na mtandao huu, Bi Hindu alisema: "Yule bwana Rage leo katupeleka peleka tu, badala ya kutuambia vitu vya msingi analeta porojo, ukimuuliza eti katiba inampa mamlaka. Katuletea polisi ili atutishe, polisi apeleke kwenye siasa za chama chetu CCM na sio kwenye Simba yetu. Sikupenda hata ule mpangilio wa maswali, watu wenye hoja nzito alikuwa akiwakataa na kuchagua wa kwake aliowapanga," alisema Bi Hindu.
Kama kuna ukweli vile!! Mambo yote ya klabu kubwa kama Simba yajadiliwe ndani ya one hour!! One hour! Yaani lisaa limoja tu! Kweli!!
ReplyDeleteRage oyeeeeee
ReplyDeletekwa ukweli ni hakika kuwa wengi hatukwenda kwa kuwa tulijuwa hayo ndio yatakuwa mkoutano wmkuu wa simba tena ikumbukwe nyuma kulikuwa na migogoro hiyo ilikuwa fursa mwenyekiti kuwapa wale waliompinga hadharani waseme nini hoja zao na tafauti ziondolewe lakininkwa kuwa rage na wenzake hawapendi kuambiwa wala kukosolewa wameyapelekapeleka mamno na kuayalindisha watakavyo mkutano wa simba hauwi wa daika sitinini uongo na unafiki uliwazi lakini dhulma haidumu na mungu hayuko pamoja na madhalim kama rage
ReplyDeleteBi Hindu karibu Airtel.......
ReplyDeleteAna ushahidi kwamba amepanga watu wake wa kuuliza maswali? Wanachama kama mnataka kumuweza Rage, muwe fit na katiba kwanza maana ndio Rage anayokimbilia kujibu hoja.
ReplyDeleteRage sio kiongozi bali mtawala ndio maana akutaka kuwasikiliza wanachama wake
ReplyDeleteRage sio kiongozi bali ni mtawala ndio maana akutaka kuwasikiliza wale wanachama waliokuwa wanapinga kipindi cha vuguvugu
ReplyDelete