Search This Blog

Saturday, July 27, 2013

LIVE SCORE: UGANDA 3 - 1 TANZANIA (TAIFA STARS) FULL TIME




Mpira umemalizika Uganda 3-1 Tanzania. Jumala 4-1

David Luhende ametoka .. Vicent Barnbas

Ivan Ntege ndio mfungaji bao la tatu la The Cranes.

Uganda wanaongeza bao la tatu.

Uganda wanazidi kutawala mchezo jambo ambalo linaweza likawa tatizo kwa Tanzania.

Brian Majwega ndio mfungaji wa bao la Uganda.
Uganda wanapata bao la pili. Dakika ya 3 kipindi cha pili.

Uganda wanapata penati baada ya mchezaji wa Stars kushika mpira ndani ya boksi

Kipindi cha pili kimeanza.

Mpira mapumziko - Uganda 1-1 Tanzania

Frank Domayo anaumia anaingia Simon Msuva.

Zimeongezwa dakika mbili za nyongeza. 

Dakika ya 45 kipindi cha kwanza matokeo bado yanasoma 1-1.

Wafungaji wa mabao ni Kalanda Frank upande wa Uganda na Amri Kiemba upande wa Tanzania.

8 comments:

  1. mbona leo hii page haiko sawa, au mshajua matokeo

    ReplyDelete
  2. timu ivunjwe period

    ReplyDelete
  3. Tatizo la wachezaji wetu wamekosa exposure hawana techniques za kutosha ....mm nashangazwa na simba na Yanga wanavyowagombea kina ngassa na yondani kila dirisha la usajili linapofunguliwa lakini Ukweli ni kuwa viwango vyao vipo chini sana tena sana suluhisho ni kurudisha michezo na ligi mashuleni ili kukuza challenge mfano wachezaji wa Uganda kama bengo na owino ni mazao ya michezo mashuleni na sis tuwe hivyo tuache ujingaaaaa.

    ReplyDelete
  4. Business as usual hii ndo majanga starz

    ReplyDelete
  5. Hatunabudi kukubaliana na matokeo tujipange kwa mashindano mengine kwani mafanikio hayaji kama upepo but it is a gradual process....

    ReplyDelete
  6. Rudini tuje kuendelea na mpira wetu wa makaratasi!!! 'Mmekufa kiume'3-1 tu!!

    ReplyDelete
  7. sasa wameuwa au wameuliwa ?

    ReplyDelete
  8. Haya ndiyo mazao ya viongozi wajanja wajanja kazi yao kupiga fedha tu hakuna jitihada zozote zinazoendelea kufikisha mpira wetu.vipaji tunavyo viwanja ovyo ovyo.mpaka watu binafsi wanatengeneza bichi zilizotulia mtaani TFF zero.tunasikia tu mehi hii imeingiza milioni 500,mara 300 ebu mshikwe na aibu tengenezeni viwanja mashuleni fanyeni kama mnazitupa fedha vile.TUNABAHATISHA SANA.Kocha tunaye jembe la nguvu lakini wapi?

    ReplyDelete