KALI YA LEO: RAISI WA BARCELONA AINGIA CHOO CHA KIKE ILI KUEPUKA MASWALI YA WAANDISHI KUHUSU KUUZWA KWA DAVID VILLA KWA BEI CHEE
Katika harakati za kuepuka maswali ya waandishi wa habari wa Catalonia, Raisi wa klabu ya FC Barcelona alilazimika kuingia chuo cha kike ili asikumbane na maswali ya waandishi wengi wa habari walioshangazwa na taarifa za kuuzwa kwa David Villa kwenda Atletico Madrid kwa ada ya €5m.
Villa kauzwa Valencia au Atletico madrid kaka mbona hueleweki ? By Peter MASHOSHO CUHAS BUGANDO UNIVERSITY
ReplyDeleteasante kwa kurekebsha kwan mwanzo uliandka valencia then atletico madrid pamoja kaka
DeleteHivi waandishi wa habari hua hamna moral ethics kama kada zingine kwa neno "kuingia choo cha kike" kimaadili ya kazi siyo zuri jaribu kurekebisha kichwa cha habari kaka by mdau wa blog yako from BUGANDO UNIVERSITY MWANZA
ReplyDelete