Search This Blog

Thursday, July 18, 2013

AZAM WAJIBU SHUTUMA ZA HUMUD NA SAKATA LA USAJILI WA KWENDA JOMO COSMOS

Humud akiwa na John Bocco
Siku moja baada ya mwanasoka Abdulhalim Humud kuishutumu timuyake ya Azam kumletea longlongo katika usajili wake wa kwenda kujiunga timu ya Jomo Cosmos ya Afrika - leo hii klabu ya Azam imejibu mapigo kwa kutoa kauli nane kuhusu sakata la mchezaji huyo.

 1. Ana Barua Mkononi aliyopewa na Uongozi wa Azam Kumfahamisha kuwa yupo huru kujiunga na Jomo Cosmos,

 
2. Ana mkataba mkononi aliosaini kati yake na Jomo Cosmos

3. Azam FC wameshamwaga wino kwenye transfer contract kumruhusu akajiunge na Jomo Cosmos
on free transfer tangia April 2013

4. Analalamika eti Azam FC inatangaza kumuondoa kwenye usajili kwa kuwa ameuzwa South Afrika badala ya kufurahi

5. Analalamika eti Azam FC haijamsafilisha… tangia lini uliona timu inayomuuza mchezaji inamsafirisha? Kimsingi wa kuulizwa ni Jomo Cosmos kwa nini hawatumi ticket

6. Muda wa usajili bado unaendelea tena unafungwa Septemba yeye analalamika kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda klabuni kuuliza hatma yake.

7. Ili kumpa uhuru wa 100% Azam FC leo imeamua kumlipa kilichobaki kwenye mkataba wake na kuachana naye ili kumpa uhuru kamili… sasa ni mchezaji huru… wanaosema Azam FC inambania sijui wanatoa wapi hizo hoja?


8. Tunamtakia kila la kheri Abdulhalim Humoud katika maisha yake kama mchezaji huru 100%

7 comments:

  1. azam wameshakuwa wababaishaji ukisoma sababu ya kwanza inasema anabarua inayoonyesha yupo huru halafu kisha ukisoma sababu ya saba wanasema leo wameamua kumlipa kilicho chake hapo utata unakuja kama mtu yupo huru tangia april leo azam wamemlipa ili iweje?

    ReplyDelete
  2. Azam washakuwa wababaishaji tayari....sikutegemea klabu kubwa tena yenye mipango endelevu wanaweza kuwa na magumaishi....hebu tazama tarehe,hv jaman ktk kalenda kuna trh 52?

    ReplyDelete
  3. Shaffi, please check on the Stamp, 52th April 2013........tarehe za dunia gani hizi. it seems after CLOUDS air out this problem, they (AZAM)went back and stamp to show that they are clean. Let's be professional jamani..... Keep it CLOUDS and this Blog kwa kufichuwa Uozo

    Kwa upande wa mchezija mwenyewe, namkubali anaweza, lakini "I THINK" Humud ana matatizo yake pia. i refer to the National friend match with Ivory Cost miakia kadhaa iliyopita the comments he made, alipokuwa kuwa simba pia. to me i believe hata hujuwe mpira vipi kama huna nidhamu, kufanikiwa ni kazi sana. Naomba nieleweke sijamtuhumu Humud, but I Think He has probems too. Ushauri wangu, huko Jomo Cosmos FC Abadilike tabia, if am wright on what am thinking. RAY

    ReplyDelete
  4. nafikiri mchangiaji hapo amequote wrong. anaweza akawa huru na akaidai klabu pia

    ReplyDelete
  5. nafikiri mchangiaji hapo amequote wrong. anaweza akawa huru na akaidai klabu pia

    ReplyDelete
  6. Lipyoto makavu ya usoJuly 18, 2013 at 2:45 PM

    Haaa! We Humud ujue unatuchanganya! Kumbe mkataba ushapewa! Kitu gani kinakufanya uendelee kulia lia na Azam? Ikibidi hata nauli kopa uwaendee hukohuko! Utakachoelezwa huko ndio utajua nini cha kufanya! Gangamala maisha ni kujaribu.

    ReplyDelete
  7. Huyu mchezaji anataka nini kaambiwa yuko huru sasa anataka nini, si aende anakotakiwa bure na apewe mshiko mnene maana hakuna transfer fee? Ina maana alikuwa hajui mkataba wake, kama alikuwa nao si wamemwacha awashukuru azam muulize kiemba simba walitaka dola laki tatu wakati ana miaka zaidi ya 32 jamaa wamesepa, naona kashindwa ndo anatafia pa kufia. Humud hajui halafu hajui kama hajui alimdharau yaya huyj eti hana lolote, arudi mtibwa hukl ndo anaweza cheza maana hizi timj kubwa anakaa benchi pamoja na rangi kumsaidia

    ReplyDelete