Search This Blog

Tuesday, June 25, 2013

WANASOKA MAARUFU NCHINI WAHITIMU KOZI YA UKOCHA YA NGAZI YA KATI LEO.

 

Picha ya pamoja kati wa wahitimu wa kozi ya ukocha ngazi ya kati na Viongozi wa TFF na DRFA.





Kutoka kushoto: Omary Mbarouk Omari,Ibrahim Masoud 'Maestro',Rechel Palangyo na Moses Mkandawile.
  Nahodha wa zamani wa Simba Sc, Selemani Matola akipewa mkono wa pongezi na Rais wa TFF ndugu Leodegar Tenga
Kutoka kushoto: Selemani Matola,Rechel,Zubeir Katwila na Steven Nyenge.

   Kutoka Kushoto: Mwenyekiti wa DRFA,Almasi Kasongo,Rais wa TFF Leodegar Tenga,Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF ndugu Sunday Kayuni na mwakilishi wa TAFCA


 Mimi pia nilikuwa miongoni mwa wahitimu wa kozi hiyo ya ukocha.

 Golikipa wa zamani wa Simba Sc na Taifa Stars Moses Mkandawile akipeana mkono wa pongezi na Bwana Tenga.





2 comments:

  1. kupat timu bora na kuwa na soka bor si ktafuta vijana tu/ watoto toka ngaz ya chini bali hata kuwafundisha watoto ama vjina mbinu za kuwa walimu bora ama viongoz bora ndo moja ya njia muhimu za kuendeleza na kukuza soka la tanzania shafii naomben mlitilie maanani sana jambo hili soka letu litafanikiwa yakifanyika haya mie nipo Kinampanda iramba singida

    ReplyDelete

  2. Matoal hata mkanda wa suruali unakushinda kuvaa kwenye hafla kama hii? halafu ndo uje kuwa meneja wa timu!

    ReplyDelete