Raisi wa Urusi Vladimir Putin ameondoa sheria ya kukataza vilevi kwenye kwenye matukio ya kimichezo kwa ajili ya kombe la dunia mwaka 2018, na amesaini sheria ya kuruhusu FIFA kuweka matangazo pembezoni mwa viwanja vyote wakati wa fainali hizo.
Sheria hiyo inasema kwamba FIFA inabidi wapewe ruhusa ya maandishi ili kuweza kufanya shughuli za kibiashara au matangazo/kutangaza ndani ya kilomita 2 zinazozunguka uwanja mzima katika siku ya mechi. Hata hivyo adhabu ya kutofuata sheria hiyo haikutajwa.
No comments:
Post a Comment