usalama hauhakikishi kwa barua ni kwa intellengece approach.Kama kuko shwari vikosi vya kulinda amani vya kazi gani Darfur.Njaa na tamaa ya Tenga na Msonye italeta maafa.
Nilistuka mara ya kwanza niliposikia mashindano ya Kagame kufanyika Darfur lkn nikawa nasubiri serikali yetu yenye dhamana ya usalama wa raia wake iseme kitu..na sasa imesema. Kimsingi usalama wa raia hauhakikishwi na chama cha soka bali serikali ya nchi husika so hiyo barua sioni kama ina mantiki yeyote. na hapa ndipo mkanganyiko wa FIFA au sema vyama vya mpira wa miguu na serikali unapoonekana wazi..vyama vya mpira huwa vinajifanya kuwa havitaki kuingiliwa na serikali kana kwamba vinafanya kazi kwenye nchi zisizo na serikali..Msonye anaesema Darfur ni salama hku akijua fika kuwa jukumu la usalama sio la CECAFA bali nchi husika. Kama vilabu vya Sudan vinahofia usalama wao na hali wako jirani na hapo Darfur itakuwa ni ajabu kubwa Yanga, Simba na wenzetu club ya Znz kutotilia maanani kauli ya Waziri Membe
usalama hauhakikishi kwa barua ni kwa intellengece approach.Kama kuko shwari vikosi vya kulinda amani vya kazi gani Darfur.Njaa na tamaa ya Tenga na Msonye italeta maafa.
ReplyDeletehapo kuna walakini mkubwa kama wenyeji wanajitoa sisi ndio twende kweli?
ReplyDeleteNilistuka mara ya kwanza niliposikia mashindano ya Kagame kufanyika Darfur lkn nikawa nasubiri serikali yetu yenye dhamana ya usalama wa raia wake iseme kitu..na sasa imesema. Kimsingi usalama wa raia hauhakikishwi na chama cha soka bali serikali ya nchi husika so hiyo barua sioni kama ina mantiki yeyote. na hapa ndipo mkanganyiko wa FIFA au sema vyama vya mpira wa miguu na serikali unapoonekana wazi..vyama vya mpira huwa vinajifanya kuwa havitaki kuingiliwa na serikali kana kwamba vinafanya kazi kwenye nchi zisizo na serikali..Msonye anaesema Darfur ni salama hku akijua fika kuwa jukumu la usalama sio la CECAFA bali nchi husika. Kama vilabu vya Sudan vinahofia usalama wao na hali wako jirani na hapo Darfur itakuwa ni ajabu kubwa Yanga, Simba na wenzetu club ya Znz kutotilia maanani kauli ya Waziri Membe
ReplyDelete