Search This Blog

Tuesday, May 14, 2013

PICHA YA SIKU: SIKU SHAFFIH DAUDA ALIPOGOMA KUMWAGIWA POMBE NA WACHEZAJI WA BAYERN MUNICH!

 Kwenye picha kutoka kushoto: Phillip Lahm,Jerome Boateng,Mario Gomez,Shaffih Dauda,Arjen Robben,Toni Kroos na Thomas Muller

10 comments:

  1. Wacha kujifagilia, hiyo inaonekana dhahiri siyo picha halisi::

    ReplyDelete
  2. Hii c picha halisi ilipigwa baina ya wachezaji wa munich na shaffih ila imetengenezwa kwa kumpachika shaffih katika picha waliyopiga wachezaji wa munich. ukimuangalia shafii uso wake unawasiliana na mchezaji wa mbele yake kwa kumungalia katika nywele that mean there no ratio of eye contact. pili inaonesha kabisa picha ya shaffih haijapigwa katika mazingira ya pamoja na wachezaji wa munich kilichofanyika ni kufanya brushing match hahhahahah. ukiwaangalia wachezaji wote wa munich hawana any contact relation na shaffih hata kidogo. sasa hii graphic design then eti shaffih alipogoma kumwagiwa pombe muache kujishebedua hapa ebooooooo

    ReplyDelete
  3. mmh misifa mingine bana,basi kwa vile yuko huko majuu apitie na makao makuu ya FIFA wampe nakala ya ile barua waliyoandika TFF ili sasa aimiliki kihalali

    ReplyDelete
  4. Wadanganye wengine fala wewe, hiyo picha ukuwepo umechaza na picha hiyo kujionyesha kuwa ulikuwa pale, achana na ujinga wako.

    Mdau
    Washington DC

    ReplyDelete
  5. Mmmm... kaka ume2pga changa la macho

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  7. Acha kutuzuga shaffih,hiyopicha ya kutengeneza.Acha kudanganya umma wa watanzania

    ReplyDelete
  8. Mambo ta fotoshop hayoooo

    ReplyDelete
  9. Hii sio photoshop ila ni life-size cutouts. amesimama kwenye picha za maboksi za hao jamaa.

    ReplyDelete