Mpira umemalizika, Young Africans 2 - 0 Simba SC
Kavumbagu ddk 4
Kiiza dkk 63
Dk 85 Nizar Khalfan anapiga shuti kali langoni kwa Simba lakini Kaseja anaokoa na kuumia. Simba 0-2 Yanga
Dk 76 SUB....! Simba imefanya mabadiliko ametoka Haruna Chanongo ameingia Ramadhan Singano 'Messi'
Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Simba SC
Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza
Dk 69 Sunzu wa Simba anamchezea faulo Mbuyu Twite wa Yanga. Mpira unasimama kwa muda ili Twite atibiwe.
Dakika ya 63, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la pili - Young Africans 2 - Simba SC
DK 60 Yanga wanaendelea kuongoza hapa dhidi ya Simba
Dk 47 SUB: Simba imefanya mabadiliko, ametoka Abdallah Seseme ameingia Felix Sunzu.
Dk 45 KIPINDI CHA PILI KIMEANZA!
Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Simba SC
Kavumbagu ddk 4
Kiiza dkk 63
Dk 85 Nizar Khalfan anapiga shuti kali langoni kwa Simba lakini Kaseja anaokoa na kuumia. Simba 0-2 Yanga
Dk 76 SUB....! Simba imefanya mabadiliko ametoka Haruna Chanongo ameingia Ramadhan Singano 'Messi'
Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Simba SC
Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza
Dk 69 Sunzu wa Simba anamchezea faulo Mbuyu Twite wa Yanga. Mpira unasimama kwa muda ili Twite atibiwe.
Dakika ya 63, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la pili - Young Africans 2 - Simba SC
DK 60 Yanga wanaendelea kuongoza hapa dhidi ya Simba
Dk 47 SUB: Simba imefanya mabadiliko, ametoka Abdallah Seseme ameingia Felix Sunzu.
Dk 45 KIPINDI CHA PILI KIMEANZA!
Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Simba SC
Dk 32 Mwinyi Kazimoto wa Simba anamchezea vibaya Frank Domayo wa Yanga.
Dakika ya 28 Simba walipata penati, akapiga Mussa Mudde na kukosa
Dk 21 Hamis Kiiza wa Yanga anauwahi vizuri mpira katikati ya mabeki wa Simba waliojichanganya kuokoa lakini shuti lake hafifu linaokolewa na kipa wa Simba, Juma Kaseja.
Dk 20 Cannavaro wa Yanga anachezewa faulo na Haruna Shamte wa Simba.
Dk 16 YELLOW CARD......! Haruna Shamte wa Simba anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Simon Msuva. Simba 0-1 Yanga
DK 15 Simba 0 - 1 Yanga
Dk 10 Didier Kavumbagu wa Yanga anamchezea faulo Shomari Kapombe.
Dk 8 Simba inapata kona ambayo haizai matunda
Didier Kavambagu anaipatia Yanga bao la kuongoza
Dk 1 YELLOW CARD...! Mbuyu Twite wa Yanga anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Haruna Chanongo wa Simba.
Mpira unaanza uwanja wa Taifa
Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo. Sub: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude na Hassan Mkude
Yanga line up: Ally Mustapha 'Barthez', Mbuyu Twite, David Luhende, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Athuman Idd 'Chuji', Simon Msuva, Frank Domayo, Didier Kavumbagu, Hamis Kiiza na Haruna Niyonzima. Sub: Said Mohamed, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nurdin Bakar, Nizar Khalfan, Said Bahanuz na Jerry Tegete
Makinda ya simba lazima yashinde leo...viva mnyama
ReplyDeleteHuo mpira hauanzi tu au ndio viblog uchwara hivi
ReplyDeletesasa km blog uchwara Kwanini unaingia ama ulizaliwa chooni wewe dawa ya moto ni moto ukisema. a mimi nasema b hekima hainunuliwi dukani km hujafunzwa na wazazi mimi ntakufunza pimbi wewe jifunze
DeleteTunashukuru sana kaka kwa update za mechi. Binafsi naiyombea ushindi mkubwa Tanga.
ReplyDeleteShukrani sana kwa update Brother.
ReplyDeletesimba naona leo game imekataa
ReplyDeleteThanxs 4 updates! Simba atarudisha na atashinda!
ReplyDeleteUnajua maana ya live updates au umekariri?
ReplyDeleteHii blog siyo live. Kiwango cha chini.
ReplyDeleteVIONGOZI WA MPIRA WA MIGUU NA VIONGOZI WA SERIKALI MNATUDHALILISHA YAAN MNASHINDWA HATA KUTAFUTA SARE YA KUVAA KWA AJIRI YA KUTOA ZAWADI YA UBINGWA.MNATUVALIA NGUO ZA AJABUAJABU.TUBADILIKE
ReplyDeleteNaskitika kwa matokeo ya leo lakn co mbaya maana ndo mchezo, lakin kunakosa ambalo simba wamelifanya kwa kuhofia game.wangejiamin wakachezesha vjana waliozoeana co kuwachanganya na akna SHAMTE HARUNA ambao hawachez mda mrf.nadhan umeona jins walvyokuwa wa moto dk za mwsho baada ya wenye timu kuingia.anyway cmba 2kae chn msimu ujao 2jipange co kuanza kulaumiana na kutimuana au kufukuza wachezaji.hongeren watan ila 5 haztafutika kama mme2kosa leo.mbiga unasemaje?
ReplyDeleteYanga oyeeeeee...
ReplyDeleteBall possesion ilikuwaje?
ReplyDeleteubingwa bila kuifunga simba usingenoga,kikubwa ilikuwa ni kuchukua kombe kwa kuifunga simba lengo ambalo limekamilika kwa asilimia 100,huyo anayesubiri mpaka zifike 5 ndio aamini simba imefungwa na yanga aendelee tu kusubiri
ReplyDelete