Manchester United kwa mara nyingine imeendelea kuwa kinara kwenye listi ya timu zinazoongoza kwa mapato makubwa kupitia haki za matangazo ya Television.
Mapato ya Premier League yanagawanywa kwa asilimia 50 za fedha zote kugawanywa sawa sawa kwa vilabu vyote, na pia mapato ya fedha kutoka nje ya nchi yanagawanywa kwa usawa.
Asilimia 25% ya mapato ya ndani yanagawanywa kutokana na ambapo timu imemaliza kwenye msimamo wa ligi, huku 25% zilizobakia zikitumika katika ya kiufundi katika kila mechi inayoonyeshwa kwenye TV ndani ya UK.
TIMU ZILIZOPATA MAPATO MENGI KWENYE EPL:
Man Utd £60.8m, Man City £58.1m, Arsenal £57.1m, Tottenham £55.8m, Chelsea £55m, Liverpool £54.8m, Everton £51.7m, West Ham £48.7m, West Brom £48.3m, Swansea £47.6m, Norwich £46.1m, Fulham £45.3m, Newcastle £45.1m, Aston Villa £44.9m, Stoke £44.5m, Southampton £43.8m, Sunderland £43.4m, Wigan £40.8m, Reading £40m, QPR £39.8m.

No comments:
Post a Comment