BVB wameweka jezi ya Manchester Utd iliyokuwa ikivaliwa na Ole Gunnar Solskjaer katika jumba lao la makumbusho. Hii itawakumbusha Bayern Munich alichowafanya Mnorway huyo alipofunga goli la ushindi katika dakika ya 93 ya mchezo katika fainali ya mwaka1999 ya Champions League. Tukio hili limekuwa moja ya muhimu katika historia ya michuano hiyo.
Jezi hiyo ni ya Ole Gunnar Solskjaer sio ile aliyoivaa kwenye fainali ya mwaka 99, hii ni ile ambayo alivaa kwenye mchezo wa nusu fainali ya European Cup dhidi ya Dortmund ambapo United walifungwa na Solskjaer - Baby-Faced Assassin alibadilishana na jezi na Knut Reinhard.
No comments:
Post a Comment