Search This Blog

Friday, April 19, 2013

VAN PERSIE, BALE, SUAREZ, CARRICK, HAZARD NA MATA - NANI KUWA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA ENGLAND???

Hatimaye leo imetangazwa rasmi listi ya wachezaji ambao wanagombania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ligi kuu ya Uingereza - Man United imetoa wachezaji wawili, kiungo Micheal Carrick  na Robin Van Persie, Luis Suarez anaiwakilisha Liverpool, Gareth Bale, Juan Mata na Eden Hazard wakiliwakilisha jiji la london. Mabingwa watetezi Manchester City hawajatoa mchezaji hata mmoja katika listi hiyo iliyotangazwa leo.

Michael Carrick (Manchester United)
Gareth Bale (Tottenham Hotspur)
Robin van Persie (Manchester United
Luis Suarez (Liverpool)
Eden Hazard (Chelsea)
Juan Mata (Chelsea)


Washindi wa miaka iliyopita
2011-12: Robin van Persie (Arsenal)
2010-11: Gareth Bale (Tottenham)
2009-10: Wayne Rooney (Man Utd)
2008-09: Ryan Giggs (Man Utd)
2007-08: C Ronaldo (Man Utd)

3 comments:

  1. Malouda alishinda mwaka gani? 09-2010 hapo kama op vile.

    ReplyDelete
  2. Suarez ndo muda wake huu kuchukua mchezaji bora

    ReplyDelete
  3. Jana Suarez kafanya mchezo wa ndondo balaa, kauma mtu. Ha ha ha ha ha ha! Nadhan credit zmepotea sana

    ReplyDelete