Pongezi pale kazi nzuri inapofanywa. Swali ni kwanini msingesubiri uongozi mpya uingie ile wawe na cha kusema kuhusu hili? Hata kama kazi yote mmeifanya nyie sio nyie mtakayesimama utekelezaji wake. Inakuwa kama mmewapangia kazi yao ya miaka mitatu ijayo. Hio sio sawa na sio busara.
Tanzania bwana,kwani mpaka kila kitu tuandike kwa kingeleza?tuache uzumbukuku jamanitujisimamie,wakati zaidi ya walengwa 90% hawajui kizungu huo mpango kwa ajili ya nani?
Ndio maana kunakuwa na sekretarieti ili kuhakikisha utekelezaji wa programu za namna hii unaendelea bila kujali mabadiliko ya viongozi.Kila mtu anaetaka uongozi TFF aseme atafanya nini kutekeleza programu hiyo.Programu hizi zinaandaliwa kwa muda mrefu na yeyote atakayekuwepo madarakani lazima abanwe na mwongozo huo badala ya kila kiongozi kuingia na mambo yake.Kama hiyo kambi ya mgombea mmoja TFF yenye kushinda kwenye OFISI za vyombo vya habari kila siku itaona programu haitekelezeki basi watarudi mezani kuandaa ya kwao ya kibabaishajiWatekelezaji ni TFF na wanachama wake hivyo ni muhimu kwa viongozi wao kuelewa lugha iliyotumika na kuitafsiri katika vitendo na kuacha blah blah za makomandoo.
Nimeipitia kwa haraka hii TFF CSP 2013/16 nimegundua kosa na tatizo kubwa lililopo na huwenda plan hii ikashindwa kutekelezeka. Hivi inawezekanaje ukawa na MISSION bila VISION? sasa hiyo MISSION ina fulfill nini? na je evaluation itakuwaje ina maana itakapofika 2016 huwezi kupima nini umefanikiwa nini umeshindwa na hatua gani uchukue? Lengo langu siyo kukosoa bali kuongezea katika mapungufu. Mwisho Hongera sana TFF mmeonesha kweli mnafanya kazi.
Umefanya vema kuileta kwa wadau (Stakeholders)ili iweze kujadiliwa kwa mapana na marefu kasoro kubwa zilizo jitokeza ni kama ifuatavyo kwa mtazamo wangu kama mtaalam wa M & E 1. KUKOSEKANA KWA VISION YA TAASISI 2. KUKOSEKANA KWA MAAZIMIO (TARGETS)KWA kila LENGO (OBJECTIVE)ili iwe rahisi kujipima na kufanya UPELEMBAJI (MONITARING & EVALUATION)kuwa rahisi katika kupitia (REVIEW)kila mwaka ili kuboresha zaidi na kukabiliana na changamoto zitakazozijitokeza wakati wa utekelezaji wake.
Mwisho wa siku itapendeza zaidi kama tutapata pia maoni ya baadhi ya wanaojiita wadau maarufu wa soka kuhusu mpango huu ili tuamini kwamba wao ni wadau wa masuala yote yanayohusu maendeleo ya soka na sio chaguzi za TFF tu,HUSUSAN WALE WANAOKUWA MSTARI WA MBELE KULALAMIKA KWAMBA WANAFANYIWA FITNA ILI WASIGOMBEE.Tunaomba waandishi wa habari za michezo muwafuate hao wadau kama mnavyowafuata wakati wa chaguzi za TFF ili wachangie maoni yao kuhusu mpango huu wa TFF.
Pongezi pale kazi nzuri inapofanywa. Swali ni kwanini msingesubiri uongozi mpya uingie ile wawe na cha kusema kuhusu hili? Hata kama kazi yote mmeifanya nyie sio nyie mtakayesimama utekelezaji wake. Inakuwa kama mmewapangia kazi yao ya miaka mitatu ijayo. Hio sio sawa na sio busara.
ReplyDeleteTanzania bwana,kwani mpaka kila kitu tuandike kwa kingeleza?tuache uzumbukuku jamanitujisimamie,wakati zaidi ya walengwa 90% hawajui kizungu huo mpango kwa ajili ya nani?
ReplyDeleteNdio maana kunakuwa na sekretarieti ili kuhakikisha utekelezaji wa programu za namna hii unaendelea bila kujali mabadiliko ya viongozi.Kila mtu anaetaka uongozi TFF aseme atafanya nini kutekeleza programu hiyo.Programu hizi zinaandaliwa kwa muda mrefu na yeyote atakayekuwepo madarakani lazima abanwe na mwongozo huo badala ya kila kiongozi kuingia na mambo yake.Kama hiyo kambi ya mgombea mmoja TFF yenye kushinda kwenye OFISI za vyombo vya habari kila siku itaona programu haitekelezeki basi watarudi mezani kuandaa ya kwao ya kibabaishajiWatekelezaji ni TFF na wanachama wake hivyo ni muhimu kwa viongozi wao kuelewa lugha iliyotumika na kuitafsiri katika vitendo na kuacha blah blah za makomandoo.
ReplyDeleteNimeipitia kwa haraka hii TFF CSP 2013/16 nimegundua kosa na tatizo kubwa lililopo na huwenda plan hii ikashindwa kutekelezeka. Hivi inawezekanaje ukawa na MISSION bila VISION? sasa hiyo MISSION ina fulfill nini? na je evaluation itakuwaje ina maana itakapofika 2016 huwezi kupima nini umefanikiwa nini umeshindwa na hatua gani uchukue? Lengo langu siyo kukosoa bali kuongezea katika mapungufu. Mwisho Hongera sana TFF mmeonesha kweli mnafanya kazi.
ReplyDeleteUmefanya vema kuileta kwa wadau (Stakeholders)ili iweze kujadiliwa kwa mapana na marefu kasoro kubwa zilizo jitokeza ni kama ifuatavyo kwa mtazamo wangu kama mtaalam wa M & E
ReplyDelete1. KUKOSEKANA KWA VISION YA TAASISI
2. KUKOSEKANA KWA MAAZIMIO (TARGETS)KWA kila LENGO (OBJECTIVE)ili iwe rahisi kujipima na kufanya UPELEMBAJI (MONITARING & EVALUATION)kuwa rahisi katika kupitia (REVIEW)kila mwaka ili kuboresha zaidi na kukabiliana na changamoto zitakazozijitokeza wakati wa utekelezaji wake.
Mwisho wa siku itapendeza zaidi kama tutapata pia maoni ya baadhi ya wanaojiita wadau maarufu wa soka kuhusu mpango huu ili tuamini kwamba wao ni wadau wa masuala yote yanayohusu maendeleo ya soka na sio chaguzi za TFF tu,HUSUSAN WALE WANAOKUWA MSTARI WA MBELE KULALAMIKA KWAMBA WANAFANYIWA FITNA ILI WASIGOMBEE.Tunaomba waandishi wa habari za michezo muwafuate hao wadau kama mnavyowafuata wakati wa chaguzi za TFF ili wachangie maoni yao kuhusu mpango huu wa TFF.
ReplyDelete