ukimsikiliza Ali Mtumwa utaona ya kwamba,mwazo yaliyotoka leo kuhusu swala la soka la vijana Tanzania hayakua na amshiko siku za nyuma kwasababu waliokuwa madarakani hawakuon sababu ya kuyafanyia kazi kipindi kile cha nyuma.Ni ngumu sana kuleta maendeleo na mawazo chanya katika shughuli nyingi za maendeleo katika soka ya Tanzania bila kuungwa mkono na walaji,wafujaji,wababaishaji na kufahamiana kinafiki.Hakuna mipango endelevu na watu walio tayari kujitoa kwa maendeleo ya soka ,mambo yote yanawezekana kama siasa na chuki zikiachwa na kujali taaluma.

ReplyDelete