MJADALA: KIFUNGO CHA MICHEZO 10 ALICHOPEWA SUAREZ KINASTAHILI?
Leo hii mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez amepewa adhabu ya kufungiwa jumla ya michezo 10 kwa kitendo cha kumg'ata Branislav Ivanovic. Je adhabu aliyopewa ni kubwa mno au inastahili ?
haistaili hata kidogo fa wana bifu na suarez.imagine rooney angefanya kitendo hicho angefungiwa mechi ngapi?
ReplyDeletehakustahili terry alidanya racism was banned 4 games
ReplyDeletenadhani haitoshi. Kwani huyu amezidi kwa matukio ya ajabu ajabu uwanjani
ReplyDeletesiwashangai waingereza na chama chao cha mpira(FA)siku zote maamuzi yao yamekua ya kibaguzi coz DEFOE alifanya tukio kama hili(alimng'ata mascherano mechi kati ya spurs na west ham) je aliadhibiwa kama hivi au ndio kumdhoofisha asiweze kung'aa?kwa mtindo huu bora wazuie WAGENI ktk LIGI yao wabaki wenyewe na ligi yao!HATA KAMA WAKIMFUNGIA AKIRUDI MOTO ULE ULE!!!!UP LIVERPOOL,UP BRENDAN RODGERS,UP SUAREZ TOGETHER WE SAY YOU WILL NEVER WALK ALONE!!!!
ReplyDeleteMwandikaji msg ya kwanza hafai kuukumu here we talk about Suarez sasa yy anaanza habari za angekuwa Rooney angefungiwa match ngapi!!?Achana na habari ya ange hapa watu
ReplyDeletewanadiscuss ambaye amefanya...for me that punishment ni ndogo mno, mi kama mshabiki wa Lvpl naona wange mfungia kabisa maisha,Maana huyo bwa mdogo kazowea kuleta majanga alafu mwepesi kuomba msamaha namna hii kwanza anaighalimu team yetu...Sasa sisi mashabiki tunaleta habari za ushabiki hapa ooh mara mbona terry alidanganya racism and he banned for 4 games..sawa kabisa!wewe huoni uzito wa jambo Suarez yy kazuri mwili wa mwenzie wewe unajuwa Suarez anaugonjwa gani au angemng'ata vizuri angemwachia jamaa tatizo gani????Jamani tuwache ushabiki tu-comment mambo ya maana.
You might not be a liverpool fan, unazuga tuu. Mchezaji kufungiwa maisha kwa kosa lile, are you really minded ok...?? Do you remember what Defoe did 2006, kosa hilo hilo, was just booked a yellow card, what the hell are you talking about..? eti angefungiwa maisha. Think before you say anything. He really deserves punishment but sio kusema afungiwe maisha. people have different attitudes, make mistakes. Kwa kosa alilofanya na adhabu alopewa atajirekebisha coz hakuna mchezaji anaependa kufungiwa mechi kwani hata mshahara wake unakatwa coz ile ni ajira. So I think wewe ndo unatakiwa ku comment mambo ya maana
DeleteFA wana double standard sana na hii inaangalia sana na rangi, Defoe mwaka 2006 alimng'ata Mascherano lakini aliishia kupewa yellow card and thats was it..... ila FA wanashindwa sema wazi kuwa hawamtaki Suarez hivyo wanampa adhabu kubwa ili Liverpool wamuuze....Sizani kama hilo litafanikiwa......
ReplyDeletecheck link hiyo http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2313724/Luis-Suarez--FA-hide-FIFA-rules-Martin-Samuel-column.html#ixzz2RMl70dql
Ni ngumu kusema kama ameonewa au la kwa sababu ya mazingira halisi yanayomuznguka mhusika
ReplyDelete1.Ni mchezaji wa nje (si mwinugereza) hivyo ni rahisi kusema kaonewa kwa sababu sio muingereza
2.Ni tukio la ajabu ambalo sidhani kama limwewahi kutokea siku za nyuma.
3.Adhabu kama hiyo pia sidhani kama imewahi kutolewa sikku za nyuma.
4.Mchezaji mwenyewe yaani suarez amezungukwa na 'wabaya wengi' hasa kutokana na matukio mabaya aliyofanya siku za nyuma
Defoe wa spurs alimng'ata Mascherano wakati huo akiwa West Ham mwaka 2006..
Deletefata hiyo link hapo
http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2313724/Luis-Suarez--FA-hide-FIFA-rules-Martin-Samuel-column.html#ixzz2RMl70dql
mi nilitaka afutwe kabisa epl,
ReplyDeleteSuarez deserved more than banned 10 games
ReplyDeleteKumtetea suarez ni wendawazimu, huyu jamaa ni kichaa anayejua sana mpira, ila sasa kinaonekana mwezi ni mchanga kimekua hata mchangani hakuna matukio kama haya yeye anayafanya kwenye uwanja ambao anajua camera zinammulika. Kumbuka kabla ya tukio la kuuma aliudaka mpira makusudi ikawa penati, alihurumiwa tu alistahilk red card labda ingdmsaidia asingefanya tukio hili. Adhabu haitoshi
ReplyDeletejamaa ameonewa
ReplyDeleteJamani tusiwe na maoni ya chuki, kumbukeni kitu kimoja Suarez ni binadamu na binadamu anafanya makosa, kijana alishaomba msamaha, kinachotakiwa ni kumsaidia na wala sio kumhukumu kwa kumkoma....ila FA bado wana tatizo kubwa sana nazani ipo siku wengine nao wataju.... Racism...Suarez 8 Matches, Terry 4 Matches.............Kung'ata Suarez 10 Matches Defoe Yellow card...... Hivi kati ya Racism (ubaguzi) na Kung'ata lipi kosa kubwa? Anayeng'ata na yule anayepiga Ngumi au Kiwiko wote wana nia ya kuumiza mwili....Ila adhabu tofauti! Mie ninachoomba hawa FA wawe na consistance kwenye maamuzi yao....wasiwe wakali tu kwa Suarez......Nakumbuka Wayne Rooney alifanya kosa akiwa na National Team.....FA ambao wanasimamia nizamu kwenye soka ndio walikuwa wa Kwanza kumsaidia Rooney ili apunguziwe adhabu..... Sasa huoni jamaa kama wana double standard?
ReplyDeleteAmefanya kosa ambalo katika mchezo wa soka hatutegemei...ni ngumu kuikubali kiakili alikua analenga nini hasa kumng'ata mtu...ni raisi watu kuzungumzia kiburi cha rooney uwanjani...niwakumbushe hata faulo mbaya aliyowai kucheza martin taylor kwa eduado bado yale yanabaki kuwa makosa ya kimchezo ktk mpira....lakini kumng'ata mtu....beyond of normal mistake...! Ningesimamia mimi uhamuzi wa kumfungia, basi suarez hasingecheza msimu mzima....
ReplyDelete